..Grace Kingalame wa tbc1........................................

Mi alikuaga jirani yangu 1. shepu ovyoooooo 2. usistaduu wakati hana senti anajitutumua kupanda taxi anakopa mpaka akahama mitaa ya kwetu kwa madeni ya madreva taxi 3. kazi ya utangazaji kwa mtu mwenye sauti (si bubu) kuna asiyeiweza?si unasoma tu karatasi? acheni kusifia upuuzi?

Mkuu hayo sasa ni yako.....................maana naona unamponda sana,watu kama nyinyi yawezekana mlimtongoza akawatolea nje ndio muanze kumponda.....ha ha ha ha ha....
 
Hata mimi namkubali anatangaza vizuri sana huyu dada,pia nimtulivu awapo kazini.
 
"Unatamani kuzaa wakati bado shuleni,tumia akili kukataza kabla hujawa matatizoni....." Umempa promo za kutosha,km ana fadhila atakukumbuka!
 
Guys humu tunaongea kwa maneno na pics sasa kama vipi tuwekeeni basi picha tumthibitishe.
 
Mie nina kitu tofauti kuhusu watangazaji wote wa TV zote Tz. Hivi ni desturi au sheria kuwa WANAUME watangazaji ndio wawe wao wanaongoza katika utangazaji na sio WANAWAKE??. Kila taarifa ya habari Mwanaume ndiye anajitia kuintroduce na kumuintroce Mwanamke mtangazaji. Hii inanikera sana. Wanawake wanauwezo mkubwa hata kuliko hao wanaume wanaojipeleka kimbelembele. Kwa mfano ............ Endelea kujaza orodha.
 
Guys humu tunaongea kwa maneno na pics sasa kama vipi tuwekeeni basi picha tumthibitishe.

...unajua mkuu na mimi nilikuwa najiuliza hilo: anafaaa...hafai...mbaya...mzuri...nywele nzuri....hana nywele...anakopa taksi....hakopi taksi...!! cha ajabu ni kuwa hakuna hata mmoja wa wabishani hawa anayetuwekea picha ili sisi wengine tusiokuwa mashabiki wa kuangalia TBC 1 tuone hicho wanachobishania!!:noidea:
 
Da 2ache majungu huyu dada ni kipaji ya akiwa na j msami kwisha napenda kusikiliza taarifa ya habari! Keep it up grace!
 
Tuwekeeni picha basi na sisi ambao hatuangalii tibisii tumthaminishe!!
 
UOqHqoB6qfgAAAABJRU5ErkJggg==
 
...kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika tv zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada grace kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na joseph msami....sidhani kama kuna mtangazaji wa kike mwenye uwezo wa juu kama huyu.....

kesha cahakachuliwa na chama cha magamba kitambo
 
Back
Top Bottom