Grace Kihwelu: Mbunge wa CHADEMA mwenye Certificate ya Hotel Management

Ila hapa JF kunaipitishaga siku yangu muruaaa sana hasa linapokuja swala kama hili yaani subject ni CV ya GK naona zimeletwa za kina kibajaji zinauliziwa za kina Komba, Lema, Mnyika, Ndesa na Maji Marefu. Yaani wengine mnatufurahisha sana na style zenu za kupambana na hoja
 
Wasomi wapo ccm kama Dr.Mama Rwakatare aliyeiomba serikali kuufunga mtandao wa kijamii wa JF!
 
Katiba mpya ikitamka kuwa First Degree ni mimimum qualification wamekwisha watu kama Lusinde, Nyangwine, mp wa rorya, mbarali nk. the party affiliation doesn't matter
 
Undugulization umejaa CDM...
Kila kiongozi mkuu ndani ya CDM ana mtu wake kwenye ubunge...
Hata kama hana qualifications!!

Rejao
huwa napingana na wewe sana, school mate... lakini kwa hili tuko pamoja... hata mimi sikubaliani na hili.
 
Mageuzi na mapambano katika taifa huletwa na watu kama Kiwelu. Tusisahau Bibi Titi alivyoshirikiana na Nyerere katika harakati za uhuru. Tuwa-encourage jamani.
 
Huyu ni Mbunge wa viti maalum, Mkwe wa mzee Ndesamburo mwenye Certificate ya Hotel Management.
Watu aina hii ndio chadema inategemea ikitwaa dola wawe Mawaziri?

NameGrace Kiwelu
11241.png
SurnameKiwelu
First NamesGrace Sindato
Alternate Name
Title
Country of BirthTanzania
Positions
FromToOrganisationPosition
2005Special Womens SeatsMember
Date of Birth14 Mar 1967
Political AffiliationCHADEMA
eMail
Telephone
Address
NotesEDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Young Men's Christian Association Certificate in Hotel Management Course 1987 1988 CERTIFICATE
Marangu Secondary School O-Level 1982 1985 SECONDARY
Makurumla Primary School Primary Education 1979 1981 PRIMARY
Kiwalaa Primary School Primary Education 1975 1979 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Keys Bureau de Change Manager 2000 2000
Moshi Phamarcy Purchasing Officer 1992 1999
Keys Hotel Cashier 1989 1991
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of National Council 2003
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of Parliament 2000 Todate
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA UWT Chairperson (Moshi District) 1996
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member 1992 Todate
---------------

Mimi ni Hotel Management Pia na ni Mageuzi Sauti Ya umma wa ukweli na nina akili kuliko Magamba...Sasa sifai kuwa na haki ya Uongozi kisa Hotel???? Jizi kabisa
 
jacob zuma hajawahi kuingia darasa lolote lakini is best than many presida in africa. hapo bungeni tu watu wana phd lakini wakiongea napata kichefuchefu
 
Huyu ni Mbunge wa viti maalum, Mkwe wa mzee Ndesamburo mwenye Certificate ya Hotel Management.
Watu aina hii ndio chadema inategemea ikitwaa dola wawe Mawaziri?

Name
Grace Kiwelu
11241.png

Surname
Kiwelu
First Names
Grace Sindato
Alternate Name
Title
Country of Birth
Tanzania
Positions
From
To
Organisation
Position
2005
Special Womens Seats
Member
Date of Birth
14 Mar 1967
Political Affiliation
CHADEMA
eMail
Telephone
Address
Notes
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Young Men's Christian Association Certificate in Hotel Management Course 1987 1988 CERTIFICATE
Marangu Secondary School O-Level 1982 1985 SECONDARY
Makurumla Primary School Primary Education 1979 1981 PRIMARY
Kiwalaa Primary School Primary Education 1975 1979 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Keys Bureau de Change Manager 2000 2000
Moshi Phamarcy Purchasing Officer 1992 1999
Keys Hotel Cashier 1989 1991
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of National Council 2003
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of Parliament 2000 Todate
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA UWT Chairperson (Moshi District) 1996
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member 1992 Todate
---------------
We uliyeleta huu uzi kwanza tuwekee CV ya Lakairo halafu baada ya hapo tutajadili hii CV ya MH Grace Kihwelu, CV sio kigezo cha kuwa kiongozi bora mawaziri wengi walioboronga katika huu utawala wa JK wengi ni wasomi wazuri tu, sasa angalia utendaji wao ulivyo na ulivyokuwa.
 
Wasomi wapo CCM bana!Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"
Kamtazame kwanza Martha Mlata ambaye taaluma yake ni storekeeper, tena certificate. Then ndo ugeukie kwa wenye uwezo wa hotel management.
 
Chadema iache kukumbatia uozo kama huu kma kweli wana taka watanzania tuamini kuwa wao ni mbadala wa CCM,sasa mtu ana Certificate ya hotel management ana kua Mbunge kisa kaolewa na mtoto wa Ndesambulo! pia mimi natofautiana na watu wanao justify eti kwa vile ccm kuna vilaza basi na Chadema iendelee kukumbatia vilaza,basi hakuna tofauti ya kati ya CCM na CDM!
 
Tuache ubishi bungeni ni mahari ambapo mambo mengi yanajadiliwa kuwa na elimu kunahusika mfano wabunge wa chadema wanaotesa bungeni na kuja na hoja zenye nguvu wanaelimu ya juu mfano lisu,zito, mnyika. hawa akina lusinde na Grace huwa hatuwasikii bungeni, unategemea waabunge wote wakiwa na elimu ndogo kama hii ni nani anaweza kujadili miswada na kuunda kamati za bunge . lazima katiba ijayo tuweke kiwago cha elimu cha kugombea ubunge kiwe ni shahada(degree).
 
Ha ha ha ha ha ha ha,siyo huyo tu chadema ina vilaza wengi akiwamo mwenyekiti wao!
 
Back
Top Bottom