Grace Kihwelu: Mbunge wa CHADEMA mwenye Certificate ya Hotel Management

Nadhani
Watu aina hii ndio chadema inategemea ikitwaa dola wawe Mawaziri?

Niijuavyo mimi hakuna mtu atampatia uwaziri mtu kama huyo ambaye mleta hoja anasema hajasoma. BUT wapo watu kibao ambao wanaelimu na ni wanachama wa CDM, bila shaka watagombea kwa wingi ifikapo 2015 na hao ndo wakupewa uwaziri. Hata kama ni ushabiki huwezi mpatia mtu asiyesome kazi bila kuangalia athari zake
 
Dah hawa wanaowajadili watanzania na matatizo yao.......jaman vyovyote iwavyo elimu ni muhinu bhana,,,,,,,ifike hatua mbunge awe degree holder bhana,,,,,elimu inamata na inapaswa izingatiwe,tuache ushabiki,wakina vicky kamata,akina maji marefu na huyu dada tunayemjadili,akina komba kibajaji wooote ni janga,,,japo kuna kundi la akina mwigulu na chenge ambao usomi wao hauna tija,,,,,aidha kwa makusudi au bahat mbaya ila this iz too much kwa hawa dizain ya huyu wa certificate ya hotel menejiment
 
Nafikiri mijadala mingine ni muhimu kama huu huu ni mjadala chanya wa kujenga chama badala ya kukaa na kuanza kumtukana mtoa mada nivizuri tukaanza kufikiri vizuri kuhusu watu kama grace kiwelu na zaidi tufikiri kuhusu baraza letu la mawaziri ni kweli chadema tuna watu wa kuchukua majukumu ya uwaziri na kama hatuna basi tuzanze kurecruit
 
Nafikiri mijadala mingine ni muhimu kama huu huu ni mjadala chanya wa kujenga chama badala ya kukaa na kuanza kumtukana mtoa mada nivizuri tukaanza kufikiri vizuri kuhusu watu kama grace kiwelu na zaidi tufikiri kuhusu baraza letu la mawaziri ni kweli chadema tuna watu wa kuchukua majukumu ya uwaziri na kama hatuna basi tuzanze kurecruit

nakuunga mkono mdau,,,,,as i said kwenye comment yangu ya hapo juu
 
halafu hiyo employment record, hizo kampuni zote ni za Ndesamburo, hiyo pharmacy ni ya mtoto wa Ndesamburo, i think huyu mama ni mkwe wa Ndesa, Sindato ni mtoto wa Ndesamburo na ndie alikuwa anamiliki hiyo pharmacy .....
 
Hii dhana naona watu wanaishadadia vibaua. Kablya ya kuanza kukosoa Elimu ya mwenzako, tuwekee ya kwako, isije kuwa ndo kwanza uanganga na ka-degree kako unajiona umeeelimiiiiiika, kumbe umesoma tu!
 
hivi kumbe kuna watu humu baada ya kuishiwa hoja hujificha sasa nimegundua mbinu ya kuwatoa
wafuatao ni wasomi wa ccm.
andrew chenge.
idd simba.
daniel yona.
basi mramba.
daud balali
idris rashid.
rajab maranda.
omary baduel.
ngeleja.
rick costa mahalu.
rostam aziz.
wahindi madalali wa rada.
pro mbilinyi.
david jairo.
..........
..............
...............
 
kazi ipo hapa...........

ila hawa ccm huwa hawakosi lao...tukichukua wenye degree peke yake mtasema pia!!....anyway elimu ya maisha siku zote ni muhimu kuliko ya darasani........hao kina mnyika wenye degree za politics au accounts wamezifanyia nini? so far anajitambua mi sioni kama ni big deal
 
Nafikiri mijadala mingine ni muhimu kama huu huu ni mjadala chanya wa kujenga chama badala ya kukaa na kuanza kumtukana mtoa mada nivizuri tukaanza kufikiri vizuri kuhusu watu kama grace kiwelu na zaidi tufikiri kuhusu baraza letu la mawaziri ni kweli chadema tuna watu wa kuchukua majukumu ya uwaziri na kama hatuna basi tuzanze kurecruit
Kwanini mnaanza kuwaza baraza la mawaziri leo wakati uchaguzi mwingine utakuwa 2015! Nani aliwaambia CHADEMA haina watu makini zaidi ya huyo mnayejadili CV yake? Wacheni majungu na chuki zenu. Mbona hamjadili CV za wabunge wa CCM iliyopo madarakani sasa hivi. Ilikuwaje raisi wenu akawaacha wabunge wenu wenye CV zilizoshiba kweli kweli akaamua kuwateua mawaziri nje ya wabunge wa kuchaguliwa? CHADEMA itashindwa nini kufanya hivyo kama swala ni waziri kuwa profesa?
 
Key's Bureu De Change Manager,
Moshi Pharmarcy purchasing Manager,
Key's Hotel Cashier. Hii tu haitoshi kukuonyesha huyu mtu anajitambua?
Unatokwa povu na certificate kwani imekua acredited na mamlaka ya serikali ipi?
Unanyenyekea vyeti, nchi inahitaji watu wanaodeliver sio lundo la vyeti kama so called Eng. Matomato:blah:
 
Undugulization umejaa CDM...
Kila kiongozi mkuu ndani ya CDM ana mtu wake kwenye ubunge...
Hata kama hana qualifications!!
Kama ni kweli basi hilo ni janga na msingi wa janga hilo ni chama chako CCM.
Je,ungependa kujua vigogo wa CCM 'benye bandugu" na jamaa zao ndani ya CCM ili uwekewe jamvini?
 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"

Cdm walikua wamelala wakati wenzao wa ccm wakichakua vyeti na kujiita ma dokta na wana masters wakati hakuna kitu ndo maana hata ukiangalia bunge saivi unaona wote wako sawa huoni nani msomi na nani hajasoma
 
Back
Top Bottom