Grace Kihwelu: Mbunge wa CHADEMA mwenye Certificate ya Hotel Management

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Huyu ni Mbunge wa viti maalum, Mkwe wa mzee Ndesamburo mwenye Certificate ya Hotel Management.
Watu aina hii ndio chadema inategemea ikitwaa dola wawe Mawaziri?

NameGrace Kiwelu
11241.png
SurnameKiwelu
First NamesGrace Sindato
Alternate Name
Title
Country of BirthTanzania
Positions
FromToOrganisationPosition
2005 Special Womens SeatsMember
Date of Birth14 Mar 1967
Political AffiliationCHADEMA
eMail
Telephone
Address
NotesEDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Young Men's Christian Association Certificate in Hotel Management Course 1987 1988 CERTIFICATE
Marangu Secondary School O-Level 1982 1985 SECONDARY
Makurumla Primary School Primary Education 1979 1981 PRIMARY
Kiwalaa Primary School Primary Education 1975 1979 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Keys Bureau de Change Manager 2000 2000
Moshi Phamarcy Purchasing Officer 1992 1999
Keys Hotel Cashier 1989 1991
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of National Council 2003
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member of Parliament 2000 Todate
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA UWT Chairperson (Moshi District) 1996
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Member 1992 Todate
---------------
 
Kama ni mwadilifu tatizo nini? Siamini mifumo rasmi ya elimu tu kutoa viongozi bora na mifano ipo mingi sana.Tunaweza kuona elimu kama kikwazo kwa kiongozi anayefanya vibaya kwa sababu za wazi za upeo lakini si wote.Lete mapungufu yake kwa majukumu aliyopewa tuyajadili.Tuache kukaa kimajungu tu bila sababu za msingi.mtu unachuki zako binafsi kesho unaamkia JF unapost utumbo!
 
wacha nikacheki maelezo ya Gwinjima na Kova kuhusu Mukenya....then nitarudi pakishatulia
 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"
 
Mods anzisheni jukwaa la chuki binafsi ili watu wamalize hasira zao huko hata za wake/waume zao! inakera sana vitu kama hivi.CDM imejitahidi kuwaingiza wanadada wengi kwenye vuguvugu hili la mageuzi.

Hao akina Grace ndio wakina dada wanaosaidia kuwaonesha wanawake wenzao umuhimu wa mageuzi.Wanaume tu kuiponda serikali wanaogopa kuishia mabwepande kwanini tusiwapongeze akina dada hawa waliojitokeza?

Au kwavile CDM imekuwa maarufu siku hizi hadi hawa hawafai tena?
 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"

hacha utoto bhana.
Usomi sio kuwa na vyeti tu ni pamoja na huwezo wa kujitambua na kupambanua mambo!
 
Kama anajua wananchi wanahitaji nn, anauwezo wa kuwakilisha mawazo yao bungeni, anauwenzo wa kupanga pamoja na halimashauri husika na kusimamia utekelezaji na yote yakatafsiriwa kuwa maendeleo unataka afanye nn zaidi? PhD za mapambo za akina JK, uprofesa wa akina Magembe, usomi wa akina Mkulo nk umeliletea nn taifa hili zaidi ya kulididimiza?
 
Hotel management siyo fani? Tena amesomea darasani akafundishwa na mwalimu aliyesomea taaluma hiyo, hebu niambie Ngonyani ana elimu gani aliyosomea shule gani akapata 1st degree au 2nd degree ya Uganga wa Kienyeji. Komba, Lusinde,
 
Hongera sana mtoa mada huyu dada ni hazina tosha kwetu sababu ni dada anayejitambua na mwenye huwezo wa kupambanua mambo!

Sisi hatuitaji kuwa na wabunge waganga wa kutupigia manyanga bali tuna hitaji wabunge kama hawa wenye huwezo wa kupambanua mambo!
 
Wasomi wapo CCM bana!
Chadema hazina yao watu kama hawa, shuleni walikimbia "umande"

Hao wasomi walio CCM wameisaidiaje nchi kupambana na umaskini kama sio kuifisadi nchi na kutusababishia kuwa maskini wakati tuna maliasili nyingi.Amka ndugu yangu usiwe na fikra mgando hivyo.
 
MKie nadhani amesoma Menejimenti basi hiyo inatosha na manake anachangia mambo ya kiuchumi kuliko Mchumi daraja la Kwanza. hahahaha
 
Mfumo rasmi wa elimu wa sasa sio relevant na muda tunaoishi..----------------POOR DAD AND RICH DAD,,,,,,fikiria
 
Back
Top Bottom