ok thinkpad thats clear but Mimi natumia Tiigo na Simu ya N78 lakini GPS data inaonyesha hakuna Satellite data kabisa!!!!!What shall i do?
@khalid and ndege
Ninachojua haiwezekani kukawa na service yeyote kati ya handset na satelite bila kuhusisha mtandao uliopo. Mimi nina e90 wit tigo chip lakini haifanyi kazi but nlipochange wit voda imework. Logicaly hakuna mawasiliano yatakayotokea btn ur handset na satelite bila kupita kwenye mtandao wako. So lazma mtandao wako usapoti hyo service.
Mkubwa nimeenda google search nika search ... google maps for mobile phones...ika take to somewhere kwenye link kama ya pili,nikachagua nikapta option ya kuchagua nchi which ni tofauti na USA.
Mkubwa au wewe hauko tz?Na kweli wanasema kweli inaweza isikupe exactly location....ila inaweza kukuwambia yuko mji gani....please give some help...nisije poteza muda kwa kutafuta tanzania.
---------------------------------------------------------------------Folks.
Ninachojua ni kwamba kuna mobile phones zenye GPS na ambazo zina A-GPS. Zile zenye GPS zina software tu ya GPS lakini hazina GPS receiver. Kwa hiyo unatakiwa kuwa na hardware ingine ya GPS receiver ambayo ita-connect na simu yako kupitia bluetooth. Simu zenye A-GPS zina GPS receiver na software yake. Hizo zinapata GPS connection bile ya kutegemea addition hardware.
Kupata GPS signal ni independent na minara ya simu kwani ni mawasiliano moja kwa moja na internet. Ill kuoanisha coordinates za GPS na ramani, inabidi kutumia minara ya simu (GPRS) iliuweze kujua upo wapi kwa kutumia internet connection. Simu yangu ni Nokia E71 na naweza hata kuona nyumba ninayoishi!! Kwa hiyo kwanza lazima ujue kuwa simu yako ina GPS au A-GPS.
Vile vile, natumia kama distance measurement instrument wakati wa safari, wastani wa speed, muda uliotumika etc.
Hakuna haja ya kubadili sim card, kwani mitandao yote inauwezo wa kuunga na internet. Hata hivyo ni vizuri zaidi kutumia mitandao yenye 3G kwani ina-download data za GPS haraka saidi. TiGo tu ndio hawana 3G.
Natumia google maps kwani ni nzuri zaidi ya Nokia maps.
Kupata GPS signal ni independent na minara ya simu kwani ni mawasiliano moja kwa moja na internet. .
Sasa wewe umesema haitegemei Network ya simu kisha unasema Voda wana 3G ndio mana ni convinient zaidi!!!!!!!!! kwa GPS??ahh mnanichanganya sasa au nije hapo kariakoo kujaribu rabda ndio satellite za GPS signals zipo! Kama kweli GPS haitegemei network! je ukiweka simu offline mode or usipoweka simcard simu inaweza kureceive?
Khalids.
GPS coordinates hazitegemei minara. Lakini ramani zinategemea minara. Utaweza kupata coordinates zako hata mahali hakuna network ya simu lakini hutaweza kujua hizo coordinates ni sehemu gani katika ramani bila ya kuwa na mnara. Hivyo popote utakapokuwa duniani unaweza kupata GPS coordinates lakini utaweza kutumia google map tu kama kuna minara.
Hii kitu ipo hivi mimi nimeidownload nipo hapahapa bongo,
Inakupa eneo husika kabisa kama mtu akikwambia yupo kariakoo maeneo ya fire utajua yupo hayohayo maeneo ya fire kama yupo msimbazi utajua tu,
Yaani hii inategemea minara minara yote inasimikwa huku ikisetiwa na gps ilikuionyesha na kurahisisha ufatiliaji wake,
ukiwa kinondoni b itakuonyesha upo eneo hilo ukisogea morroco na yenyewe inasogea ukifika makumbusho na yenyewe inakuonyesha upo makumbusho au maeneo ya milenium tower.
Kwa tiGO inafanya hata voda pia ila voda ndio nzuri kidogo maana ina 3g.
habari zenu jamani?
Mimi natumia simu ya nokia E61i, iliyowezeshwa GPS ndani yake. Ila kwenye matumizi inanipa tabu tupu. Kila nikijaribu kutumia inasema GPS not available. Nimekua nikijiuliza maswali yasiyokua na majibu, Je simu yangu ni mbovu au kuna semu zakufanya marekebisho sehemu kabla ya kutumia au hiyo huduma haipatikani Tanzania? Mimi nipo singida naomba msaada wenu kuhusu hilo.
Hi Team
Simu za kisasa zinakuja na GPS within ni feature nzuri sana katika matumizi hasa kujua uko upande gani,Pia zinakuna na Worldmate ambayo hutumia kwa wafanya biashara na wasafari hata kwa mtu wa kawaida...akitaka kujua muda wa miji mbali mbaili duniani.
Swali langu la msingi liko kwenye setup ya GPS kwenye simu.Hili nimekuwa najaribu kulifanya kwa wiki sasa...kila nikijaribu kupata exactly location ya nilipo inanitupa kama 120m away from original location..ukichukua point hizo kuziweka katika software flan ina project ohh mbali sana.
1.Nacho uliza vodacom wana settelite ambayo inakuwa connected na GPS za wateja wao?
2.Ni iko acculate kiasi gani hiyo Settelite...kwani hata ukienda kwa costomer service wao naona kama huduma ya kuuliza maswali kuhusu hilo hamna.
3.Je Kuna setting ambazo natakiwa kufanya labda kuweza kupata good results achilia mbali lazima uwe nje na weather iwe cool?
Regards
Buswelu
Sijui sana kuhusu GPS lakini najua kucheka, ni Heee!heee!.Hehe sijui settings lakini GPS signal inapatikana Tanzania.
GPS haihusiki kabisa na internet, kama simu yako ina GPS hakuna haja ya kukonect kwenye internet, GPS inakamata signal za satelite za GPS ambazo zinamilikiwa na Jeshi la Marekani, hakuna kampuni yoyote yenye satelite zake za GPS, labda satelite za mawasiliano mengine.
Pia labda simu yako haina ramani, ambayo ndo inaenda kuichukua kwenye Internet (Google Maps maybe), hii ramani inaunganishwa na GPS coordinates unazopata kutoka kwenye satelite ili kukuonyesha uko wapi. Lakini kupata GPS coordinates hauhitaji Internet.
Mkuu GPS ( Global Positioning System) inapatikana mahala popote duniani ( Cha msingi usiwe inclosed mfano ndani ya jengo) Hizi ni signal zinazokuwa Broadacsted na Satelite na ambazo zinaweza kuwa received na any GPS receiver ( Simu nyingi za kisasa zina Inbuilt GPS receiver)
Kupata Coordinate za Mahali ulipo hauhitaji cha Ramani (map) wala mtandao wa Internet kwa sababu coordinate unaweza kuzisoma kama unavyosoma saa na dakika katika digital watch.
Ila kama unataka kunavigate hapo ni ni lazima uwe na Ramani na kama simu yako haina ramani ni internet connection inatakiwa kwa ajili ya Google earth tu.
Kila simu ina setting zake za GPS nakushauri soma mannual au weka aina ya simu yako usaidiwe
habari zenu jamani?
Mimi natumia simu ya nokia E61i, iliyowezeshwa GPS ndani yake. Ila kwenye matumizi inanipa tabu tupu. Kila nikijaribu kutumia inasema GPS not available. Nimekua nikijiuliza maswali yasiyokua na majibu, Je simu yangu ni mbovu au kuna semu zakufanya marekebisho sehemu kabla ya kutumia au hiyo huduma haipatikani Tanzania? Mimi nipo singida naomba msaada wenu kuhusu hilo.