GPS Katika Simu

Here are My settings - Got it From Nokia Support Discussions.

Menu->Tools->Settings->General->Positioning:
Assisted GPS=ON,
Integrated GPS=on
Network based=on.

Positioning Server:
Access point: IDEAS INTERNET(vodacom internet)
Server address: supl.nokia.com

The positioning server address may actually depend on your operator since the A-GPS connects via WAP/WEB (warning : check what is included or not in your plan !):

For instance I have modified the standard values to:

Positioning Server:
Access point: vodacom internet!
Server address: geoloc1.sfr.fr

I therefore assume for other providers there has to be an equivalent...
 
jibu rahisi kuhusu shida yako unatakiwa uangalie idadi ya satellite ambazo zinaonekana ktk simu yako pindi unapokuwa ume switch on gps yako,
Na zinapokuwa satellite zaidi ya nne utakuwa unapata results ambazo ni sahihi kwa kiasi ulani ila zinapokuwa 6 unapata eneo lenyewe halisi kama kuna tofauti ni futi 6 tu!,

Kuhusu Simu nyengine kuwa na gps huwa zinakuwa na gps application sio hardware hizo zinaitaji uwe na bluetooth gps device ambayo ukikonect na simu yako utaweza kupata vitu, Ila hizo simu unaweza kukuta kuna gmap au nokia map ambazo zina detect mnara wa simu kisha ina alocate position uliopo kutokana na mnara wa simu unaotumia hii inatokana na wanao funga minara na cuifanyia setting wengine wanaacha na settings za ulaya mfano unawezakuwa Mombasa Ukonga lakini kwenye map ukiangalia my location inakuonyesha upo england.
Thats all.
 
Mkuu ThinkPad umetoa angalizo la maana sana hapo nilipoweka rangi ya Mnyama
 
Mkuu ThinkPad umetoa angalizo la maana sana hapo nilipoweka rangi ya Mnyama

Ni kweli usipoangalia vizuri unaweza ukadhania simu yako ina gps kumbe haina ila inazo application tu! ila kama simu yako haina gps still bado unaweza kuwa unatambua upo wapi kutokana na minara ya simu au unaweza kuweka program ndogo tu ya nokia ambayo kwakutumia gprs unaweza kuona mwenzako yupo eneogani katika ramani na ukaweza kumtumia message hapohapo halipo, hiyo ni hatua nzuri kwetu sisi tuliyo ifikia.
 
GPS stands for Global Positioning System. A GPS device uses satellites to pinpoint its exact location on the Earth within an area of about 50 sq. ft. GPS was developed by United States’ Defence Department solely for military purposes. But after realizing its numerous civilian applications, it made it available for everyone in larger societal interest. GPS devices can guide you to a destination unknown to you with precise Voice Prompts like “Turn left then Right” or “Your Banks’ ATM 500m ahead” or “Fuel Station 8 km straight”. 1)More than 2 dozen GPS satellites keep orbiting our planet transmitting digital signals to GPS receiver on the ground. 2)GPS receivers only receive these signals, they do not transmit any. i.e. it’s a one way communication from GPS satellites to the receivers. 3)The GPS receivers calculate the time taken to receive a signal. Multiplying it with the velocity of light gives its distance from that particular satellite. 4)All GPS satellites synchronize operations and signals are transmitted at the same instant indicating their location & current time. GPS operations depend on very accurate time reference. Hence these satellites use atomic clocks installed on them for this purpose. 5)When measurements from 3-4 or more satellites to same point (i.e. the GPS receiver) are known, the location of this point (GPS receiver) can be easily ascertained in terms of latitude, longitude, altitude [Imagine intersection of 3 imaginary spheres of different radii and centres at a single point]. 6)Now detailed maps of cities are prepared in form of latitude, longitude & altitude with their corresponding landmarks or commonly known names of these places. Thus the position of the GPS receiver is interpreted on these maps and it is easily understood by a common man.
 
Ni kweli usipoangalia vizuri unaweza ukadhania simu yako ina gps kumbe haina ila inazo application tu! ila kama simu yako haina gps "still bado unaweza kuwa unatambua upo wapi kutokana na minara ya simu au unaweza kuweka program ndogo tu ya nokia ambayo kwakutumia gprs unaweza kuona mwenzako yupo eneogani katika ramani na ukaweza kumtumia message hapohapo halipo, hiyo ni hatua nzuri kwetu sisi tuliyo ifikia".

ThinkPad Come again hiyo program ndogo unayo sema kuhusu kujua mtu yuko eneo gani na kumtumia...tueleze vyema mzee....naona umegusia tu kwa juu...hujaeleza vyema...
 
Mimi Simu Yangu inayo GPS inayo kabisa ingekua haina ingeniambia niconnect na GPS ya bluetooth lakini simu yangu inayo GPS man!
 
mimi mbona nina nokia 5800 inayo GPS lakini hakuna Satellite signal kabisa mimi niko Dar es salaam! natumia tigo ,Kwani GPS inahitaji settings??unaeka settings gani ili ifanye kazi Tanzania??mimi nilijua GPS haifanyi kazi Tanzania!

sasa kaka Tigo na yenyewe utaiweka kwenye first class telecomunication company, it uses very old technology in transimition compared to voda,zain and zantel. ukiwa na simu yenye functionality nyingi(advanced) dont use tigo u`ll be mis using ur 4n resources.
 
The GPS receivers calculate the time taken to receive a signal. Multiplying it with the velocity of light gives its distance from that particular satellite.

Very true man, thanks for the articleKisabo Nyangwak

sasa kaka Tigo na yenyewe utaiweka kwenye first class telecomunication company, it uses very old technology in transimition compared to voda,zain and zantel. ukiwa na simu yenye functionality nyingi(advanced) dont use tigo u`ll be mis using ur 4n resources.

Mkuu kwani tigo wanatumia technolojia gani kwenye Transmission? na Voda na zain je?

Halafu suala la Voda wala Tigo halihusiki hata kidogo na GPS
 
nokia e61i inakuwa na hii feature?
Why tiGO hawana network support kwa hii GPS feature?
 
nokia e61i inakuwa na hii feature?
Why tiGO hawana network support kwa hii GPS feature?

Yes Nokia E61i wanayo feature mkuu ndio simu niliyo kuwa natumia in the past kabla hawajanipola...nenda kwenye web site ya nokia utakua maelezo safi kabisa easy to understand...uta download software kulinga na simu yako.

Regards
Buswelu
 
ThinkPad Come again hiyo program ndogo unayo sema kuhusu kujua mtu yuko eneo gani na kumtumia...tueleze vyema mzee....naona umegusia tu kwa juu...hujaeleza vyema...

tafuta google map ya mobile phone itaifanya hiyo kazi
 
Mimi Simu Yangu inayo GPS inayo kabisa ingekua haina ingeniambia niconnect na GPS ya bluetooth lakini simu yangu inayo GPS man!

Nimesema kama in gps lakini haionyeshi eneo halisi ulipo basi zingatia number ya satelite zikiwa 5 na kuendelea ndio unapata dirrection bila ya error
 
ok thinkpad thats clear but Mimi natumia Tiigo na Simu ya N78 lakini GPS data inaonyesha hakuna Satellite data kabisa!!!!!What shall i do?
 
@Ndege
What i know tigo use GSM tech n zantel etc use cdma. Cdma z fast,xpensive,new technology which suport many latest services like VoIP through 3G tech also USSD technology which z very latest tech which z now used in mobile banking. U can even use eye evidence, angalia idadi ya services zinazotolewa na hayo makampuni mengine then compare wit tIGO.
 
ok thinkpad thats clear but Mimi natumia Tiigo na Simu ya N78 lakini GPS data inaonyesha hakuna Satellite data kabisa!!!!!What shall i do?

@khalid and ndege
Ninachojua haiwezekani kukawa na service yeyote kati ya handset na satelite bila kuhusisha mtandao uliopo. Mimi nina e90 wit tigo chip lakini haifanyi kazi but nlipochange wit voda imework. Logicaly hakuna mawasiliano yatakayotokea btn ur handset na satelite bila kupita kwenye mtandao wako. So lazma mtandao wako usapoti hyo service.
 
tafuta google map ya mobile phone itaifanya hiyo kazi

Mkubwa nimeenda google search nika search ... google maps for mobile phones...ika take to somewhere kwenye link kama ya pili,nikachagua nikapta option ya kuchagua nchi which ni tofauti na USA.

Mkubwa au wewe hauko tz?Na kweli wanasema kweli inaweza isikupe exactly location....ila inaweza kukuwambia yuko mji gani....please give some help...nisije poteza muda kwa kutafuta tanzania.
 
@khalid and ndege
Ninachojua haiwezekani kukawa na service yeyote kati ya handset na satelite bila kuhusisha mtandao uliopo. Mimi nina e90 wit tigo chip lakini haifanyi kazi but nlipochange wit voda imework. Logicaly hakuna mawasiliano yatakayotokea btn ur handset na satelite bila kupita kwenye mtandao wako. So lazma mtandao wako usapoti hyo service.
Thanks for that Zion i will try exchanging the sim cards!
 
Back
Top Bottom