GPL na Clouds FM waandaa Tamasha la Kuhamasisha Uzalendo

Hawa jamaa vyombo vyao avipo ktk kuikomboa jamii wao wapo kifani zaidi.kwani hata habari zao ni za kijinga katuni 2,fulani kafumaniwa nilikuwa m1 wa wapenzi wakubwa wa erick kipindi kile cha mwanzo wa kampuni yk hasa ktk napasua jipu pwaa lkn huu mwaka wa 8 cioni umuhimu,walamba nyao hao seif khatibu alisema wavilemba na tasbihi
Wa
 
Kwa kipindi kirefu sasa, nchi ya Tanzania imekuwa katika vita ya maneno kati ya wanasiasa wanaokinzana na hivyo kwa namna fulani kuathiri watanzania wengi kutokana na misimamo na matamshi yanayowakatisha tamaa wananchi wengi
Matamshi na misimamo inayowakatisha tamaa wananchi ni ya ccm.Ya kina Slaa ni matamshi yenye kuwaamsha wananchi na kuchoche fikra za kimapinduzi,ikiwa ni pamoja na kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao,na uzalendo wa kweli wa kulinda rasilimali za Taifa kwa kuhakikisha zinawanufaisha wananchi....

Wananchi wanaoandamana ni wale walioachana na kukata tamaa na kuamua kufanya kitu kwa ajili ya Taifa lao na vizazi vijavyo....Tamasha hili lina nia ya kuneutralize hilo,na pia ni pesa za mafisadi kujidai eti hakuna wanasiasa...Changa la macho tu once again kwa wadanganyika.
 
mafisadi.jpg


Global Publishers kwa kushirikiana na Clouds group wanaanda tamasha la kuwahamasisha wananchi kuwa wazalendo kwa kile walichodai kuchafuliwa kwa hali ya hewa kulikosabaishwa na maandamano na kauli za wanasiasa dhidi ya serikali hivyo wananchi kupoteza imani kwa serikali yao. Tamasha litafanyika viwanja vya Biafra, tarehe 19/03/2011 kuanzia saa 5 asubuhi na kingilio ni bure.

Swali langu wametumwa na nani kuwafundisha wananchi uzalendo? wakati wote walikuwa wapi wakashindwa kufundisha wananchi uzalendo wa kupinga ufisadi na unyonyaji kwa wananchi? Kuna haja ya kuwaangalia hawa wanaojiita vijana wazalendo wa taifa hili.
Kweny hiyo picha huyo wa 3 kutoka kushoto ni mzima kweli?
 
Lakini mbona nimesoma habari yenyewe GP haina mambo ya Mwanakwetu?

PRESS RELEASE
March 15, 2011, DAR ES SALAAM

YAH: TAMASHA LA UZALENDO
Kampuni ya Global Publishers ikishirikiana na Clouds Media Group inapenda kuufahamisha umma wa watanzania kuwa wameandaa tamasha la wazi na la bure lililopewa jina la “TAMASHA LA UZALENDO: TANZANIA KWANZA, SISI SOTE NI NDUGU”. Tamasha hili Kubwa, linatarajiwa kufanyika Jumamosi ya tarehe 26 Machi, 2011 katika viwanja vya Biafra, Kinondoni Dar es Salaam kuanzia, saa 5:00 asubuhi hadi saa 12:30 jioni.

Madhumuni ya tamasha hili ni kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kuishi pamoja kwa upendo na amani bila kujali tofauti zao. Vilevile kuwahamasisha kuipenda nchi yao na kupendana kama binadamu na kuweka uzalendo mbele kwa maslahi ya taifa. Tamasha hili linakadiriwa kujumuisha watu kati ya 20,000 hadi 25,000 wa rika tofauti na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa makampuni na taasisi mbalimbali wanaoheshimika na jamii, ambao siyo wanasiasa.

Tamasha linatarajiwa kuvuta watu wengi kutokana na maudhui yake pamoja na kauli mbiu yake ya kuhimiza na kuhamasisha mapinduzi ya kifikra kwa kuwajenga watanzania wawe na uzalendo na moyo wa kupenda nchi yao. Kwa kufanya hivyo, wataweza kuongeza upendo miongoni mwao na hii itasaidia kulinda amani na utulivu tulio nao na tunaojivunia.

Kwa kipindi kirefu sasa, nchi ya Tanzania imekuwa katika vita ya maneno kati ya wanasiasa wanaokinzana na hivyo kwa namna fulani kuathiri watanzania wengi kutokana na misimamo na matamshi yanayowakatisha tamaa wananchi wengi. Tamasha hili litakuwa ni fursa ya kipekee ya kurejesha matumaini kwa kufufua chachu ya kutaka kuwa wazalendo, wenye uchu wa kulinda nchi yetu na kuonesha mapenzi kwa kila kitu kinachohusisha Utanzania, bila kujali tofauti zetu za kiitikadi na vyama.

Ujumbe wa tamasha hili ni muhimu sana kwa kila mtanzania atakayefika pamoja na wale watakaosikia habari zake. Ili ujumbe uweze kufika kwa ufasaaha, kunatarajiwa kuwepo wanaharakati watakaozungumza siku hiyo, wakiwemo Eric Shigongo, Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group na wengineo.

Tamasha hili linatarajiwa kusindikizwa na burudani mbalimbali kutoka kwa bendi na vikundi mbalimbali vya sanaa. Kati ya burudani hizo ni muziki wa dansi kutoka kwa bendi za African Stars, Msondo Music Band, DDC Mlimani Park, TOT Band na Stone Mayiyasika. Vile vile kutakuwa na muziki wa taarabu ambapo bendi za Jahazi Modern Taarab na Super Shine Modern taarab zitatumbuiza.

Vijana wakiwa ndiyo kundi kubwa linalowakilisha idadi ya Watanzania wengi, burudani ya bongo flava itakuwepo huku wasanii wengi wakionesha nia ya kushiriki. Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Profesa Jay, AY, H. Baba, H-Mbizo, wasanii kutoka Zizzou Entertainment, mwimbaji wa injili, Flora Mbasha na wengineo wengi.

Mbali ya wasanii hao, atakuwepo pia mwanamuziki mkongwe wa Reggae, Innocent Galinoma, Mtanzania aishiye nchini Marekani, ambaye amejipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kizalendo kama vile “Sote ni ndugu” na “Kilimanjaro”.

Juhudi za makusudi zimefanywa na kamati ya maandalizi kuhakikisha kuwa ulinzi na usalama wa watu na mali zao unakuwa wa kutosha. Vyombo husika vya ulinzi na usalama vimeshapewa taarifa na vinajipanga kuhakikisha tukio hili linakuwa la kihistoria. Vilevile kutakuwa na maninja watakaoongeza nguvu kusaidiana na polisi ili kuhakikisha usalama wa kutosha.

Kamati ya maandalizi ya tamasha inapenda kutoa hamasa kwa watanzania wote kujitokeza kwa wingi siku hiyo na kula kiapo cha uzalendo. Wananchi watakaohudhuria, si tu watapata fursa ya kupokea changamoto ya kuwa wazalendo na kuishi kwa amani na upendo, bali pia wataburudika na burudani zilizotajwa hapo awali. Vilevile huduma mbalimbali muhimu, kama vinywaji, vyakula, vitatolewa kwa gharama nafuu.

Asanteni, Mungu awabariki na aibariki Tanzania.

-Global Publishers & General Enterprises Ltd

-Clouds Media Group

Juma Mbizo,
Mratibu wa Tamasha.
Nakumbuka katika kampeni za JMK hapo kwenye red
 
Kwa nini wafanyie Biafra badala ya mikoa ya kanda ya ziwa ambako ndiko maandamanao yalifanyika? Ni upuuzi mtupu, Ruge, Global Publisher tunajua rangi zenu......hakuna cha tamasha wala ushuzi. Mtakuja kuabika bure, Ruge tunajua Lowassa yuko nyuma yako. We know each and everything........bado tunasubiri mwanya wa kukulipua na mtandao wenu.
 
Hawa globalpublishers waendelee na kazi yao ya kuandika udaku. Siasa wachie wenyewe, mmiliki wao mwenyewe siasa zilimshinda, wanadhani siasa ni sawa na kukusanya na kuandika habari za udaku?
 
Ndugu wa JF,

Si kawaida yangu kwa kipindi kirefu kuanzisha maada yeyote kutokana na kutingwa na shughuli za hapa na pale ila mchana wa leo nimeshtushwa sana na Kampuni ya Global Publishers ikishirikiana na Clouds Media Group ambao wao wameamua kuandaa tamasha la wazi na BURE e lililopewa jina la “TAMASHA LA UZALENDO: TANZANIA KWANZA, SISI SOTE NI NDUGU”.

KWa muda wa masaa machache sana nimekaa na kujiuliza ni lini watanzania walipoteza uzalendo?Na hata kama wamepoteza uzalendo je uzalendo wa watanzania unarudishwa kwa kuwapo tamasha ambalo wanachi wanaambiwa kuwa litahutubiwa na watu ambao siyo wanasiasa?Kigongo na wenzake wanalo la kujibu

Nachokifahamu mimi ni kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanapenda kutambulishwa kutokana na utaifa wao yaani wao ni watanzania bila kujali ni dini gani ,wala kabila gani ila leo kuja na hoja zaifu kuwa maneno ya wanasiasa yamewafanya watanzania kukosa uzalendo hili si sawa na ni kuwatusi watanzania wengi ambao sasa hivi wapo katika kipindi kizuri cha kupata tiba ya kikombe kutoka kwa babu.

Kabla ya kuanza kujibu press release ambayo itapelekea tamasha hili kufanyika naomba sasa kuweka kipande cha maneno machache ya utangulizi ambayo yaliandikwa hapa jamvini mwaka 2007 na mzee mwenzangu M.M Mwanakijiji

Kwa karibu miaka kama miwili hivi, hisia za uzalendo na kuionea fahari nchi yetu imeanza kuingia na kukita kwa nguvu katika mioyo ya Watanzania. Sitaogopa kusema kuwa hakuna watu katika Afrika ukiondoa labda Waghana wenye kuona fahari sana na nchi yao kama Watanzania hivi sasa. Hata hivyo kwa maoni yangu uzalendo huu wa picha ni uzalendo uliopotoka na unaoficha hasa hisia za wananchi kwa viongozi wao. Kwa namna moja naamini Watanzania wameanza kutofautisha kupenda viongozi wao na kuipenda nchi yao. Sasa hivi hisia hii ya uzalendo imefikia mahali pa kusema "waache waendelee kula, lakini nchini mwetu twalala".

Ni hapa ninapojikuta najiuliza kuwa uzalendo huu wa picha una faida gani katika utendaji na uongozi wa nchi. Je, tunaipenda nchi yetu kweli na kufikia mahali pa kutovumilia uzembe, ugoigoi wa uongozi, na ufinyu wa ubunifu? Je mapenzi yetu ya nchi yanatufanya tusiwaonee haya viongozi uchwara wapendao masihara ambao hutawala kwa mikwara? Ni uzalendo gani tulionao hasa wale walio katika madaraka wa kuona fahari ya nchi yao!.

Katika picha nyingi nilizoziona leo, inaonekana wenye mapenzi sana na wenye kuona fahari zaidi kwa nchi yao ni watu wa kawaida. Tukichukulia mavazi na vibendera kama ishara ya mapenzi hayo, sijaona kiongozi au mfadhili yoyote iliyevaa kitu chochote chenye rangi au alama za Taifa! Na hapa sizungumzii nia na makusidio ya mioyo ya watu, ninajiuliza tu je ni kweli sisi ni wazalendo kwa kuvaa rangi za Taifa na kupepea vibendera vya "Rangi Nne"?

Ni kitu gani hasa kinaweza kutufanya tuoneshe uzalendo wetu pasipo kuvaa rangi hizi za Taifa?

Mara baada ya kusema hayo naomba sasa kuuliza maswali magumu kutokana na yale waliyoyasema kina kigongo.

Madhumuni ya tamasha hili ni kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kuishi pamoja kwa upendo na amani bila kujali tofauti zao. Vilevile kuwahamasisha kuipenda nchi yao na kupendana kama binadamu na kuweka uzalendo mbele kwa maslahi ya taifa.

Ni watanzania wangapi ambao mpaka leo hawajui umuhimu wa kuishi kwa upendo?

Je ni lini wameacha kuipenda nchi yao?Hivi kweli tumefikia hapa na kuwatusi watanzania kiasi hiki?

Nachokifahamu mimi watanzania hawawapendi viongozi ambao ni mafisadi na wanpora nchi yao bila huruma huku wananchi wengi wakibaki kuwa masikini wasioona mbele wala nyuma

Ni nani anayempenda mwizi?

Tamasha hili linakadiriwa kujumuisha watu kati ya 20,000 hadi 25,000 wa rika tofauti na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa makampuni na taasisi mbalimbali wanaoheshimika na jamii, ambao siyo wanasiasa.

another clap,viongozi gani ambao wanaheshimika katika jamii ya watanzania?ambao siyo wanasiasa?duh..may be i dont get it...too low

Kwa kipindi kirefu sasa, nchi ya Tanzania imekuwa katika vita ya maneno kati ya wanasiasa wanaokinzana na hivyo kwa namna fulani kuathiri watanzania wengi kutokana na misimamo na matamshi yanayowakatisha tamaa wananchi wengi.

Kuna vita ya maneno kati ya wanasiasa?wanasiasa wapi wana vita ya maneno?au baadhi ya wanasiasa kuseama watu fulani ni mafisadi hiyo ni vita?kudai maisha bora ni vita?

Ujumbe wa tamasha hili ni muhimu sana kwa kila mtanzania atakayefika pamoja na wale watakaosikia habari zake. Ili ujumbe uweze kufika kwa ufasaaha, kunatarajiwa kuwepo wanaharakati watakaozungumza siku hiyo, wakiwemo Eric Shigongo, Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group na wengineo.
hiki kichekesho kingine..ina maana hawa wana harakati ndiyo watakaorudisha uzalendo?
Kamati ya maandalizi ya tamasha inapenda kutoa hamasa kwa watanzania wote kujitokeza kwa wingi siku hiyo na kula kiapo cha uzalendo. Wananchi watakaohudhuria, si tu watapata fursa ya kupokea changamoto ya kuwa wazalendo na kuishi kwa amani na upendo, bali pia wataburudika na burudani zilizotajwa hapo awali. Vilevile huduma mbalimbali muhimu, kama vinywaji, vyakula, vitatolewa kwa gharama nafuu.

kiapo cha uzalendo?vinywaji,vyakula vitatolewa kwa gharama nafuu?

Anyway..nendeni kwenye hilo tamasha ila hili tamasha ni dharau ya khali ya juu sana kwa watanzania.nimekosa maneno mazito ya kuongea mpaka sasa nipo na mawazo sijui tumerogwa?

Ndugu shigongo viongozi walioko madarakani ambao ni mafisadi hao ndiyo wamekosa uzalendo na hili tamasha lingewafaa wao na siyo watanzania wazalendo wa picha.Hilo tamsha lingefanyika kufurahia tiba ya babu wa loliondo ingekuwa sawa ila siyo kwa madhumuni haya mliyoayaanisha..

Asanteni, Mungu awabariki na aibariki Tanzania.

Patriotism denotes positive and supportive attitudes to a 'fatherland' (Latin patria < Greek patris, &#960;&#945;&#964;&#961;&#943;&#962;), by individuals and groups. The 'fatherland' (or 'motherland') can be a region or a city, but patriotism usually applies to a nation and/or a nation-state. Patriotism covers such attitudes as: pride in its achievements and culture, the desire to preserve its character and the basis of the culture, and identification with other members of the nation. Patriotism is closely associated with nationalism, and the terms are often used synonymously. Strictly speaking, nationalism is an ideology - but it often promotes patriotic attitudes as desirable and appropriate. (Both nationalist political movements, and patriotic expression, may, yet need not, be negative towards other people's 'fatherland').
Patriotism has ethical connotations: it implies that the 'fatherland' (however defined) is a moral standard or moral value in itself. The expression my country right or wrong—perhaps a misquotation of the American naval officer Stephen Decatur, but also attributed to Carl Schurz—is the extreme form of this belief. Patriotism also implies that the individual should place the interests of the nation above their personal and group interests. In wartime, the sacrifice may extend to their own life. Death in battle for the fatherland is the archetype of extreme patriotism.
 
suala la uzalendo ni la msingi sana kwa kwa nchi yoyote.ni msingi wa watu kuishi kwa upendo na kuleta maendeleo ya nchi husika.
kukosekana kwa miiko ya uongozi na uzalendo ndio imezalisha viongozi kama EL na RA.
nadhan kuwaondoa hawa na wenzao wenye mrengo kama huu ndio itakuwa pona ya nchi yetu
 
Lakini mbona nimesoma habari yenyewe GP haina mambo ya Mwanakwetu?

PRESS RELEASE
March 15, 2011, DAR ES SALAAM

YAH: TAMASHA LA UZALENDO
Kampuni ya Global Publishers ikishirikiana na Clouds Media Group inapenda kuufahamisha umma wa watanzania kuwa wameandaa tamasha la wazi na la bure lililopewa jina la "TAMASHA LA UZALENDO: TANZANIA KWANZA, SISI SOTE NI NDUGU". Tamasha hili Kubwa, linatarajiwa kufanyika Jumamosi ya tarehe 26 Machi, 2011 katika viwanja vya Biafra, Kinondoni Dar es Salaam kuanzia, saa 5:00 asubuhi hadi saa 12:30 jioni.​

Madhumuni ya tamasha hili ni kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kuishi pamoja kwa upendo na amani bila kujali tofauti zao. Vilevile kuwahamasisha kuipenda nchi yao na kupendana kama binadamu na kuweka uzalendo mbele kwa maslahi ya taifa. Tamasha hili linakadiriwa kujumuisha watu kati ya 20,000 hadi 25,000 wa rika tofauti na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa makampuni na taasisi mbalimbali wanaoheshimika na jamii, ambao siyo wanasiasa.​

Tamasha linatarajiwa kuvuta watu wengi kutokana na maudhui yake pamoja na kauli mbiu yake ya kuhimiza na kuhamasisha mapinduzi ya kifikra kwa kuwajenga watanzania wawe na uzalendo na moyo wa kupenda nchi yao. Kwa kufanya hivyo, wataweza kuongeza upendo miongoni mwao na hii itasaidia kulinda amani na utulivu tulio nao na tunaojivunia.​

Kwa kipindi kirefu sasa, nchi ya Tanzania imekuwa katika vita ya maneno kati ya wanasiasa wanaokinzana na hivyo kwa namna fulani kuathiri watanzania wengi kutokana na misimamo na matamshi yanayowakatisha tamaa wananchi wengi. Tamasha hili litakuwa ni fursa ya kipekee ya kurejesha matumaini kwa kufufua chachu ya kutaka kuwa wazalendo, wenye uchu wa kulinda nchi yetu na kuonesha mapenzi kwa kila kitu kinachohusisha Utanzania, bila kujali tofauti zetu za kiitikadi na vyama.​

Ujumbe wa tamasha hili ni muhimu sana kwa kila mtanzania atakayefika pamoja na wale watakaosikia habari zake. Ili ujumbe uweze kufika kwa ufasaaha, kunatarajiwa kuwepo wanaharakati watakaozungumza siku hiyo, wakiwemo Eric Shigongo, Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group na wengineo.​

Tamasha hili linatarajiwa kusindikizwa na burudani mbalimbali kutoka kwa bendi na vikundi mbalimbali vya sanaa. Kati ya burudani hizo ni muziki wa dansi kutoka kwa bendi za African Stars, Msondo Music Band, DDC Mlimani Park, TOT Band na Stone Mayiyasika. Vile vile kutakuwa na muziki wa taarabu ambapo bendi za Jahazi Modern Taarab na Super Shine Modern taarab zitatumbuiza.

Vijana wakiwa ndiyo kundi kubwa linalowakilisha idadi ya Watanzania wengi, burudani ya bongo flava itakuwepo huku wasanii wengi wakionesha nia ya kushiriki. Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Profesa Jay, AY, H. Baba, H-Mbizo, wasanii kutoka Zizzou Entertainment, mwimbaji wa injili, Flora Mbasha na wengineo wengi.

Mbali ya wasanii hao, atakuwepo pia mwanamuziki mkongwe wa Reggae, Innocent Galinoma, Mtanzania aishiye nchini Marekani, ambaye amejipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kizalendo kama vile "Sote ni ndugu" na "Kilimanjaro".​

Juhudi za makusudi zimefanywa na kamati ya maandalizi kuhakikisha kuwa ulinzi na usalama wa watu na mali zao unakuwa wa kutosha. Vyombo husika vya ulinzi na usalama vimeshapewa taarifa na vinajipanga kuhakikisha tukio hili linakuwa la kihistoria. Vilevile kutakuwa na maninja watakaoongeza nguvu kusaidiana na polisi ili kuhakikisha usalama wa kutosha.​

Kamati ya maandalizi ya tamasha inapenda kutoa hamasa kwa watanzania wote kujitokeza kwa wingi siku hiyo na kula kiapo cha uzalendo. Wananchi watakaohudhuria, si tu watapata fursa ya kupokea changamoto ya kuwa wazalendo na kuishi kwa amani na upendo, bali pia wataburudika na burudani zilizotajwa hapo awali. Vilevile huduma mbalimbali muhimu, kama vinywaji, vyakula, vitatolewa kwa gharama nafuu.​

Asanteni, Mungu awabariki na aibariki Tanzania.

-Global Publishers & General Enterprises Ltd

-Clouds Media Group

Juma Mbizo,

Mratibu wa Tamasha.

Wajue Watanzania wa sasa hawadanganyiki na miziki kwenye mikutano, wakumbuke Mama Batilda Burian kule Arusha alijitahidi kuleta mpaka wanamuziki toka Kenya lakini wana-Arusha bado walimkataa.
 
Ni maajabu na umaskini wa hali ya juu baadhi ya watanzania tena vijana wanakubali kununuliwa na ccm in 2011. Vijana wasio na elimu kweli ni rahisi sana kununuliwa ili kujaza matumbo kwa muda wa siku moja na masaa mawili. Clouds walikuwa wapi siku zote na jingine ni hili, kama unataka kujenga uzalendo pigana na unga mkono Chadema kuwaondoa ccm madarakani. This is only solution. I hope vijana walio visible na nguvu kwenye media na nafasi mbambali kuonya dhidi ya clouds tactics za kumbeba Kikwete sasa hivi, maji yamefika shingoni ndio tunaona wananchi wanaongwa na pesa hizo hizo za Dowans kuwaumiza wananchi wenzao

Jitahada kubwa zifanyike na Chadema tumieni kila njia kuwaonya wananchi dhidi ya njama kama hizi za clouds. Tutaona kila njama kama wakati wa uchaguzi zilivyo tumika na vilevile wananchi wakataa kumpiga kura fisadi kikwete.​
 
Hawa jamaa vyombo vyao avipo ktk kuikomboa jamii wao wapo kifani zaidi.kwani hata habari zao ni za kijinga katuni 2,fulani kafumaniwa nilikuwa m1 wa wapenzi wakubwa wa erick kipindi kile cha mwanzo wa kampuni yk hasa ktk napasua jipu pwaa lkn huu mwaka wa 8 cioni umuhimu,walamba nyao hao seif khatibu alisema wavilemba na tasbihi
Wa

hahahah,WASODHAMBI,
kwan hao huwajui kua ni makada?mfano mmoja wapo ni kwa eric,alifananishwa na obama alpoenda kugombea ubunge huko BUCHOSA
 
Jamaaani hepu anagalieni kwa makini picha hii,Hapo kuna maboss wa makampuni nini tatizo.?je Mtazamo wao hupo sawa?.Aliyeshika mudomo anafumba nini.?Aliyetoa macho anashangaaa au anasikiliza? wale wawili mmoja kama anaogopa nini? Mbona afanani na boss wa shirika?To many comment ?
 
Kweli elimu ni msingi wa maisha! Hivi vidampa,ndondocha sijui misukule ya ccm inatuletea matamasha yasiyoeleweka. Toka lini ccm ikajua uzalendo?

Na hawa wapambe walikuwa wapi siku zote, dowans,richmond,kiwira zilipita wasije na matamasha kama haya?? Leo hii ndio wameona umuhimu?

Kama ni mapambano basi yameanza, cdm ikaze buti moto mbele! Majibu watayapata huko kanda za juu kusini
 
Oh GOD THE "ALMIGHTY" WHY IS IT TAKING TOO LONG FOR THESE FOOLS TO DISCOVER REALITY. AS NATIONS ARE PROGRESSING SO FAST THESE FOOL ARE ORGANIZING A NONSENSE GATHERING AT THE CENTER OF DAR JUST TO HOLD US BACK!! SHAME ON YOU CLOUDS AND GLOBAL PUBLISHER!!!
Amakweli ipo kazi, yani nchi inavamiwa wananchi wako vitani kuikomboa lakini ajabu yake wachache wanageuka nakuwa upande wa wavamizi. Nasema kweli bila kumumunya maneno watanzania tuna ugonjwa wa kutojitambua na kutokujua kwamba hatujui...
 
Eeh hivi siku hizi maartist wamekuwa wanaharakati. Eric ni ccm tipical aligombea akapigwa chini, Joseph kusaga Md. Clouds tumesha mzoe anapenda kujikomba kwa Jk mwaka jana alimfanyia happybirth day. Sasa mnategemea watu kama hawa kuleta nini mbele ya watanzania. Na matamasha ya clouds huwa ni ya vijana tena wapaka poda ambao hawajui definition ya siasa, na hapa wataenda tu kuona show hakuna la zaidi watakalo toka nalo hapo. Cdm go on. Huu ni moja ya mipango ya ccm kuzima ukweli.
 
mafisadi.jpg


Global Publishers kwa kushirikiana na Clouds group wanaanda tamasha la kuwahamasisha wananchi kuwa wazalendo kwa kile walichodai kuchafuliwa kwa hali ya hewa kulikosabaishwa na maandamano na kauli za wanasiasa dhidi ya serikali hivyo wananchi kupoteza imani kwa serikali yao. Tamasha litafanyika viwanja vya Biafra, tarehe 19/03/2011 kuanzia saa 5 asubuhi na kingilio ni bure.

Swali langu wametumwa na nani kuwafundisha wananchi uzalendo? wakati wote walikuwa wapi wakashindwa kufundisha wananchi uzalendo wa kupinga ufisadi na unyonyaji kwa wananchi? Kuna haja ya kuwaangalia hawa wanaojiita vijana wazalendo wa taifa hili.

Wanataka kuwafundisha vijana u-ccm sio uzalendo. Hao kina ruge na wenziwe tunawajua ni vibaraka. Hakuna atakayewasikiliza. Wakishafundisha huo "uzalendo" ndio nauli zitashuka bei? bei ya umeme itashuka? bei za vyakula zitashuka? Mbona hatujawahi kuwasikia wakikemea kupanda kwa hali ya maisha? WANAFKI WAKUBWA HAO.
 
ni ujio ule ule wa ccm lakini kivingine hivyo hatushangai hivyo ni mazuzu na vilaza wanaosoma magazeti ya shigongo na kusikiliza radio ya wafu ndio watakaohudhulia.
"Huwezi kuhubiri kuhusu uzalendo wakati wewe mwenyewe sio MZALENDO":focus::focus:
 
stupid idiot

To hell, yaani wazazi wangu wapo kijijini wanaangaika, sasa hivi sina hela ya kupanda daladala mwisho wamwezi hahujafika hali ni mbay mbya m,bya sana

Stupid idiot subiri mtu avae mabomu
 
Mambo kama haya ndiyo huwa yanapelekea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe....Hata kama ccm ikiondolewa madarakani,still ni vigumu ku co exist na watu kama hawa....So sishangai kwanini sometime watu wanalimana risasi especially wakati wa mapinduzi ama strategic changes.
Utawezaje kupatana na watu wenye hulka na mawazo kama haya?Hopefully ni siasa tu,ila kama ndivyo walivyo,then tuna kazi.

jmushi1, mimi kuna siku ntavaa tu bomu...potelea mbali, kwanza kwani ntaishi mpaka lini?! heri nife tu mapema lakini nife na fisadi papa mmoja au wawili. ntakuwa nimekomboa wadanganyika wenzangu wengi
 
DISGUSTING! These people have neither Interlectual Capacity nor Moral Ground to stand and talk to anybody about nationalism (Uzalendo).
 
Back
Top Bottom