Govt to cough up 100bn to offset atcl debt

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
KWA HAABARI ZAIDI SOMA DAILYNEWS
wakati serikali ikihangaika kujikwamua kutafuta ndege nyingine kwa ajili ya ATCL
Kamati ya Bunge imetoa ripoti serikali inatakiwa kulipa zaidi ya billion 100 kwa kuiwekea guarantee atcl
wakati ikikodisha ndege aina ya airbus ambayo ilikaa miezi mitatu haa nchini na kuelekea kusiskojulikana
Hata hivyo mh zitto alipoulizwa nini kimefanyika kuwahkumu waliotuingiza kwene huu mkataba akuweza kueleza
zaidi ya kusema hilo ndio deni letu mkae mkijua ...habari zaidi nunu dailynews sio gali sana
 
ukitaka kujua watanzania tumelaniwa ni haya, serikali ingeachana na hii biashara ya ndege kabisa kwani haiwezi kuiendesha, kama mashirika mapya kama precision, 540, coastal etc yana enjoy booming business na wanarush kuorder ndege mpya kwani soko ni kubwa wao wana struggle there has to be something wrong, haya mdio matunda ya ajira za kujuana, kuweka watu kisiasa na ufisadi usio na aibu!
kama serikali ilishindwa kuendesha atcl wakati hamna mpinzani wataweza leo wakati upinzai uko juu imefika hatua hata watu hawataki kupanda atcl kwa kuhofia usalama wao kwa sababu wanajua ma pilot kujuana, maintenance wizi mtupu etc
personnaly ni bora niairishe safari kuliko kupanda ndege za atcl!
 
Back
Top Bottom