‘Govt should stop threatening journalists’ – Kubenea

Gazeti letu makini tuta limisi sana. Kubenea tuletee kitu kingine usichoke mpaka kieleweke
 
Kubenea: MAGAZETI na WAHARIRI wake hawawezi kuoiongoza Serekali, si Serekali ya Tanzania au nyingine yeyote Duniani itakayokubali Ujinga Huo, aidha inaendeshwa Kidemokrasia au La. Demokrasia isiwe visingizio vya kuvuja Sheria.
Sheria ganii iliyovunjwa?
Lipot gan iliyotolewa na serikali juu ya hili na mengineyo?
bila kuulizia ni mmoja wa wanaofaidika na mfumo mbovu uliopo!
 
Mbele ya Banda la kuuzia magazeti hapa Musoma Mjini (Stand ya Zamani) mzee mmoja (kwa muonekano anatokea kijijini) anaulizia gazeti la Mwanahalisi tunamweleza kuwa limefungiwa anajibu: "sasa hawataki tukosolewe, hili gazeti ndilo lililonileta hapa mjini kulinunua, sasa tutapata wapi kujua makosa na uovu wa serikali? Je, wanasema wamelifungia mpaka lini?"
Ama hakika ni kilio cha wengi hata vijijini pia Mwanahalisi ni halisi kabisa, kipenzi cha watu.. Kubenea make sure we get our weekly editorials as usual. Pamoja sana.
 
Source?

Tue, Jul 31st, 2012 | By Teonas Aswile

The General Director of Mwana Halisi Newspaper, Said Kubenea has advised the government of Tanzania to demolish all laws which downtrodden the journalism professional in the country.

Briefing journalists in the press conference he conducted today afternoon, Kubenea said for a long time the government has been using repressive laws which become barriers to the journalists who want to play well their role of informing and representing the public.

“As it is directed by the Newspaper Act of 1976, the government is not obligated to tell you the reason for censorship…a letter from the registrar informed me that I have been stopped to publish my newspaper and I have to read Government Gazette No. 258 of 27[SUP]Th[/SUP]July, 2012.”

Kubenea said it’s surprising to see the government does not work on the Media Stakeholders’ proposal which wanted Tanzaniato have the law supporting freedom of information.

“The government has taken from us and all citizens the freedom of getting information from effective medium.” explained Said Kubenea looking disappointed.

Also Kubenea said the action aims to kill the newspaper workers and all people who depend on Mwana Halisi to get their daily bread through publishing and selling it in streets.

The General Director asked the government to reverse the decision announced and allow the weekly newspaper to continue with publications.

Mwana Halisi newspaper published by Hali Halisi Publishers Ltd was banned yesterday by
the Registrar of Tanzania accused of sedition.
 
Dhulma hii haitafika mbali kwani wanadhani wakifungia gazeti ndio watabadili mawazo yetu kwamba Usalama wa Taifa wamemteka Ulimboka kwa amri ya JK? So stupid serikali hii awamu ya nne. Wajue tushavunja kongwa za utumwa wa fikra tupo huru hatupelekwi kwa propaganda za Zoka wala Kova. Nina nakala nazitunza nitakuwa napitia tena na tena ili kupata elimu ya uraia. Said Kubenea ni Hero katika taifa hili anastajili heshima kubwa kwani anaandika makala zake (pamoja na waandishi wote wa gazeti hilo) kwa utafiti. JK na serkali yake watambue time of fredom has already reached.
 
Kubenea: MAGAZETI na WAHARIRI wake hawawezi kuoiongoza Serekali, si Serekali ya Tanzania au nyingine yeyote Duniani itakayokubali Ujinga Huo, aidha inaendeshwa Kidemokrasia au La. Demokrasia isiwe visingizio vya kuvuja Sheria.

Hivi ni ujinga gani unaozungumzia ndugu yangu? Hivi wewe serikali kwako ni malaika? Haifanyi makosa? Ikisemwa tu basi ni ujinga. Mh Kikwete alisema serikali haikuhusika na utekaji na utesaji wa DR. Ulimboka, kama mtu (wa serikali) alifanya hivyo hakumtuma. Kwa hivyo kuna watumishi wa serikali wanaweza kufanya kitu kibaya kwa utashi wao wenyewe bila kutumwa na viongozi wa serikali. Bahati mbaya anayetuhumiwa ni mtumishi wa serikali tena wa usalama. Si ahojiwe, uchunguzi ufanyike na kama ana hatia ashitakiwe. Ya nini kumlinda? Kama Mwanahalisi limeandika uchochezi si lishitakiewe, mahakama huru iamue! Sioni ujinga lililoandika Mwanahalisi labda tu kama wewe uko kutetea utawala hata kama umefanya makosa.
 
hivi ni ujinga gani unaozungumzia ndugu yangu? Hivi wewe serikali kwako ni malaika? Haifanyi makosa? Ikisemwa tu basi ni ujinga. Mh kikwete alisema serikali haikuhusika na utekaji na utesaji wa dr. Ulimboka, kama mtu (wa serikali) alifanya hivyo hakumtuma. Kwa hivyo kuna watumishi wa serikali wanaweza kufanya kitu kibaya kwa utashi wao wenyewe bila kutumwa na viongozi wa serikali. Bahati mbaya anayetuhumiwa ni mtumishi wa serikali tena wa usalama. Si ahojiwe, uchunguzi ufanyike na kama ana hatia ashitakiwe. Ya nini kumlinda? Kama mwanahalisi limeandika uchochezi si lishitakiewe, mahakama huru iamue! Sioni ujinga lililoandika mwanahalisi labda tu kama wewe uko kutetea utawala hata kama umefanya makosa.

the whole government is a criminal organization that needs to be dismantled
 
Hakuna dhuluma wala uongo ambao ulishawahi kushindana na ukweli ukashinda, tanzania imejaa watawala katili kama nduli id amin lakini pamoja na ukatili wao hata wao pia wameshindwa. Mtanzania usikate tamaa. Freedom is coming tomorrow

I support the Government decision, but I am worried that the decision has come a little bit late. There is no country in the world tha can torrerate this kind of journalism. Mwanahalisi should have been banned a long time ago. But kwa sasa wahariri wa hilo gazeti wanajiona ni Superstars
 
Mkuu hakuna anaezuiwa kuandika wala kuzungumza, Mmepewa Uhuru mpana ambao hata juzi tu kwa Awamu ya Mkapa hamkuwa nao. Kwahiyo kuna Haja na Ulazima kuutumia vizuri na kwa Busara. Kuwa Journalist haimaanishi your Everything na unaweza kuandika chochote, Wakati wowote na Uingilie kazi ambazo si zako na zaidi ya hayo Ueneze Uchochezi na chuki na Utazamwe kama yai tete, Ati kwa Vile umechaguwa kuwa Journalist (Hilo ni tatizo binafsi na inafaa ulitafutie dawa). Kwa hiyo kutokana na Mfumo ulivyo sasa hivi Utaendelea na mawazo yako ya kuwa best huku ukiumia kuongozwa na Rubbish and Shits Inaelekea hiki ndicho kinacho wasibu Baadhi ya Wanahabari, hivyo mnaamua kutangaza vita ya chini kwa chini, msipoteze muda wenu kwenye hilo hamuwezi kufanikiwa.
Mwanahalisi haliwezi kuwa POLISI, JUDGE and JURY Litabakia kuwa Gazeti la mitaani!!
 
Sheria ganii iliyovunjwa?
Lipot gan iliyotolewa na serikali juu ya hili na mengineyo?
bila kuulizia ni mmoja wa wanaofaidika na mfumo mbovu uliopo!

Mfumo mbovu hufanyiwa Marekebisho na ndio maana tumebaini kuwa baada ya miaka 50 unahitaji marekebisho, hivyo tuko na mchakato wa Katiba mpya. Ili kusiwe na Rabsha ndio maana tuna mipangilio ya Kazi, na kazi nyingine hazihitaji kuingiliwa, inakuwa ni kinyume cha Sheria kwa Mhariri/Mwandishi wa Gazeti kuendesha Upelelezi ulioko chini ya jeshi la polisi na kuugeuza kuwa ni habari za mitaani. Kama alifaya hivyo kwa nia njema ilikuwa ni wajibu wake Kuukabidhi ushahidi huo Polisi Uhakikiwe na Apewa Ruhuzsa ya kuutoa hadharani Jambo ambalo isingewezekana kabla ya Kesi kufikishwa mahakamani. Kwahiyo tusitetee tu, ati Magazeti, Magazeti ni Biashara na Wamiliki wake wanaishi kwa Uongo na Fitina mara nyingi, si hapa Tanzania tu, Dunia Nzima.
 
Hivi ni ujinga gani unaozungumzia ndugu yangu? Hivi wewe serikali kwako ni malaika? Haifanyi makosa? Ikisemwa tu basi ni ujinga. Mh Kikwete alisema serikali haikuhusika na utekaji na utesaji wa DR. Ulimboka, kama mtu (wa serikali) alifanya hivyo hakumtuma. Kwa hivyo kuna watumishi wa serikali wanaweza kufanya kitu kibaya kwa utashi wao wenyewe bila kutumwa na viongozi wa serikali. Bahati mbaya anayetuhumiwa ni mtumishi wa serikali tena wa usalama. Si ahojiwe, uchunguzi ufanyike na kama ana hatia ashitakiwe. Ya nini kumlinda? Kama Mwanahalisi limeandika uchochezi si lishitakiewe, mahakama huru iamue! Sioni ujinga lililoandika Mwanahalisi labda tu kama wewe uko kutetea utawala hata kama umefanya makosa.

Mfumo mbovu hufanyiwa Marekebisho na ndio maana tumebaini kuwa baada ya miaka 50 unahitaji marekebisho, hivyo tuko na mchakato wa Katiba mpya. Ili kusiwe na Rabsha ndio maana tuna mipangilio ya Kazi, na kazi nyingine hazihitaji kuingiliwa, inakuwa ni kinyume cha Sheria kwa Mhariri/Mwandishi wa Gazeti kuendesha Upelelezi ulioko chini ya jeshi la polisi na kuugeuza kuwa ni habari za mitaani. Kama alifaya hivyo kwa nia njema ilikuwa ni wajibu wake Kuukabidhi ushahidi huo Polisi Uhakikiwe na Apewa Ruhuzsa ya kuutoa hadharani Jambo ambalo isingewezekana kabla ya Kesi kufikishwa mahakamani. Kwahiyo tusitetee tu, ati Magazeti, Magazeti ni Biashara na Wamiliki wake wanaishi kwa Uongo na Fitina mara nyingi, si hapa Tanzania tu, Dunia Nzima.
 
Mkuu hakuna anaezuiwa kuandika wala kuzungumza, Mmepewa Uhuru mpana ambao hata juzi tu kwa Awamu ya Mkapa hamkuwa nao. Kwahiyo kuna Haja na Ulazima kuutumia vizuri na kwa Busara. Kuwa Journalist haimaanishi your Everything na unaweza kuandika chochote, Wakati wowote na Uingilie kazi ambazo si zako na zaidi ya hayo Ueneze Uchochezi na chuki na Utazamwe kama yai tete, Ati kwa Vile umechaguwa kuwa Journalist (Hilo ni tatizo binafsi na inafaa ulitafutie dawa). Kwa hiyo kutokana na Mfumo ulivyo sasa hivi Utaendelea na mawazo yako ya kuwa best huku ukiumia kuongozwa na Rubbish and Shits Inaelekea hiki ndicho kinacho wasibu Baadhi ya Wanahabari, hivyo mnaamua kutangaza vita ya chini kwa chini, msipoteze muda wenu kwenye hilo hamuwezi kufanikiwa.
Mwanahalisi haliwezi kuwa POLISI, JUDGE and JURY Litabakia kuwa Gazeti la mitaani!!

Yaani Moja ya Sababu ya Kuifungia MWANAHALISI ni UCHOCHEZI na CHUKI? Kweli haujaona Wachochezi na Wenye

Chuki wa Usalama wa Umoja wa nchi yetu wako wapi Mpaka Ukaona ni MWANAHALISI? Kuna RADIO na MAGAZETI

Ya KIDINI ambayo yanaendesha UCHOCHEZI na CHUKI sidhani mtayaongelea na kwenda kuyafunga...

NI MWANAHALISI... kwasababu ni rahisi kulifunga ni la JUMUIA kula mtu analisoma sio la KIBAGUZI kama hizo RADIO na

MAGAZETI... Mnayoyaogopa.... IT IS A SHAME..
.
 
Back
Top Bottom