Elections 2010 Government of the people, by the people, for the people

PigaKuraYako

Member
Oct 28, 2010
21
6
NEC itabidi wakumbuke kwamba "government of the people, by the people, for the people, shall not perish from the earth."
Nguvu ya UMMA ni shuguli nyengine kabisa.....hakuna mtu anayeombea Tanzania mabaya, lakini kumbukeni bila haki hakuna amani, hata China kusipo na democrasia, angalau sheria ipo na inabana hata wakubwa serikalini, ukila rushwa nikunyongwa tu, kesi haizidi hata wiki, hii inafanya watu waamini mfumo wa serikali yao , na kwamba haki ipo..

hapa Tanzania tunajidanya kuna democrasia, wakati kura zinatengenezwa na vijana wa usalama.....sasa kwanini waliruhusu wananchi wapange mistari siku ya jumapili?
 
kwaniusalama si ni raiya na yeye, wanajeshi wamempigia kura yule aneyewaheshimu kama walinzi wa nchi, mtu anahubiri kupunguza jeshi na kureplace kwa technolojia je watampa aje awawpruni think , dr wetu sifa zilimzidi akawa anwagombeza watu mikutanoni dakika za mwisho, anajitapa yeye ni mkali, kwani mkali ni sifa, slaa kapunguza kura mwenyewe kwa kulewa sifa na majigambo yasiyo na msingi
 
usalama ni raia, kama NEC na CCM ! kwanini washugulike na wizi wa Kura? wanaogopa nini upinzani? au hawajiamini na uwezo wao wakufanya kazi? wana uhakika nani atakalia kiti cha CCM baada ya Kikwete ... miaka 10-20 inayokuja? inawezekana Makamba akagombania uraisi.....Kwa nini washifanye kazi yao kutokana na sheria na katiba ya nchi hii?
 
kwaniusalama si ni raiya na yeye, wanajeshi wamempigia kura yule aneyewaheshimu kama walinzi wa nchi, mtu anahubiri kupunguza jeshi na kureplace kwa technolojia je watampa aje awawpruni think , dr wetu sifa zilimzidi akawa anwagombeza watu mikutanoni dakika za mwisho, anajitapa yeye ni mkali, kwani mkali ni sifa, slaa kapunguza kura mwenyewe kwa kulewa sifa na majigambo yasiyo na msingi

Jaribu kuwa mwelewa wewe nani alisema kupruni watu jeshini.
 
kwaniusalama si ni raiya na yeye, wanajeshi wamempigia kura yule aneyewaheshimu kama walinzi wa nchi, mtu anahubiri kupunguza jeshi na kureplace kwa technolojia je watampa aje awawpruni think , dr wetu sifa zilimzidi akawa anwagombeza watu mikutanoni dakika za mwisho, anajitapa yeye ni mkali, kwani mkali ni sifa, slaa kapunguza kura mwenyewe kwa kulewa sifa na majigambo yasiyo na msingi

Tafiti kura zilizopigwa na wanajeshi kwanza kabla ya kufikiri wanajeshi wote walimpa JK
 
Back
Top Bottom