government issues...

Tumaini_TZ

New Member
Jul 26, 2011
1
0
I had Mr.president has offered his son Riziwani a status of Ambassodor in norway. How truth is this issue guys..??
 
I had Mr.president has offered his son Riziwani a status of Ambassodor in norway. How truth is this issue guys..??

Last edited by Tumaini_TZ; Yesterday at 05:24 PM. Reason: spelling correction
 
kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini sidhani kama anaweza kuwa na gut ya kufanya hivyo. Lakini pia tukubali kwamba Ridhiwani ni mtanzania kama walivyo wengine, kuwa mtoto wa rais hakumzuii kuteuliwa kushika nafasi yoyote ya serikali.
 
Wajameni unatutiaga aibu kwa kuiga vibaya maluga ya wenzetu. Si uongeage kiswahili tu wajameni?
 
kweli wajameni angekanyaga na kulikhandamiza lilughaletu tungemwelewa zaidi. Tumaini_tz nakuonya mwenzangu hapa kunawaingereza weusi tii kazi yao kulinda watao chafua kimombo chao,hawajali ulitaka kufikisha ujumbe gani! 'Ukishindwaga' lifilimbe limeseji lako kisukuma mwanawane!
 
I had Mr.president has offered his son Riziwani a status of Ambassodor in norway. How truth is this issue guys..??
<br />
<br />

Tumaini_TZ
Wala usikasirike kukosolewa ndio kujifunza ndugu yangu. Siku hizi online kuna kupata majibu ya mengi.
Mie nitadonoa haka kwenye HAD ulitakiwa uandike heard.
Amb... Ni a baada ya double s.
Kaa salama
 
Back
Top Bottom