Gossip: Lulu

yap.tena hii kesi ndio rahisi sana kwani marehemui hana haki. arusha wamenunua huku kukiwa hakuna marehemu sembuse marehemu tena.

Kama ni bahati mbaya watu wanaweza ku compromise na hilo swala.
Nina amani kwamba hata kama ameua (mahakama ndio yenyewe uwezo wa kuthibitisha), basi ni kwa bahati mbaya.
Tumeshapoteza maisha ya mmoja,. kuna haja ya kuharibu ya mwingine?
Just thinking aloud, hilo litategemea ndugu wa marehemu na polisi (bila kusahau huyo mwenye fungu).
Si unakumbuka Chenge aliua na ikaiishia hivi hivi?????:shock:
 
hata kama mahakama itamkuta na hatia,nazani atakuwa na kesi ya man slouhgter sio murder case.
 
Dogo kwel mkali ! ila kwann achanganyie watu habari? its beta 2 tell someone achepe lapa rather than kumchanganyia habari!
 
Huyu dogo akae behind bar kwa muda jaman ili akitoka akili yake iwe sawa! atakuwa amekuwa ss. R.I.P THE GREAT!
 
Huyu dogo akae behind bar kwa muda jaman ili akitoka akili yake iwe sawa! atakuwa amekuwa ss. R.I.P THE GREAT!

Kanumba the great (RIP) and Lulu!
What a marvelous combination!
Ile kitu haina adabu kabisa, hata great Kings and Queens have fallen for it,
 
huyu mtoto jeuri, akiachiwa kwa hilii atajenga kiburi cha ajab sana. Kwa kumsaidia yeye lulu inatakiwa akae segerea hata miez kadhaa.
 
Imesemwa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu...jamii imesema sana juu ya Lulu lakini sikio la kufa halisikii dawa, huyu binti hakusikia haya sasa yamemkuta yakumkuta...aaaaa wamejisemea wahenga.. mchuma janga hula na wakwao...haya Lulu kale janga hilo na familia yako!
 
msameeni mtoto wa watu jaameni maana hakutegemea, kifo ni kwa kila binadamu so siku yake imefika na hata huyo mtoto akitoka leo atakua anajuata kwa kusababisha kifo cha kanumba the great, bt for me she is innocent person, kukimbia ni kuepusha shari,tuwe wakweli wanajamii fr.
 
complicated but she need help, even if she is going to stay behind the bar. I believe it was not planed it just happened
 
kaua tu...

Angalia mkuu! Huyu binti kwa sasa anatuhumiwa kwa kuua (murder) na yuko lock-up wakati uchunguzi wa case husika ukiendelea. Ni mahakama kisheria itakayoamua baada ya mambo kama : uchunguzi wa kina wa polisi, ushahidi, mazingira ya tukio, taarifa ya daktari-Post Mortem n.k. Kukamilika. Hatuwezi kushangaa kusikia mahakama ikitoa hukumu kwamba, 'Lulu is guilty of a crime: a convicted manslaughter'. Kuua bila kukusudia. Tusihukumu mapema mkuu!
 
Watu mnakosa umakini na weledi katika mambo ya msingi..hata aje nani huyu binti hatoki ndani yaaani jtano anapandishwa kizimbani...anastahiki kunyongwa mpaka kufa..mwana huyu kalaanika na huo ndo mshahara wake..
 
I feel sorry for her...ila acha akae huko kodogo ajifunze adabu wakimtoa nw utamsikia atakavyoropoka kwenye interview zao wanazofanya...she haz no brain...asiyeskia la mkuu uvunjika guu,
 
Back
Top Bottom