KIKUNGU
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 845
- 582
Duh huyu mheshimiwa simjui historia yake wala sikuwahi kumjua kabla,ila mapema mwaka huu alifiwa na mdogo wake,kuna connection ya mbali na mke wa kaka yangu kwa hiyo nilienda kwenye msiba nyumbani alikopanga Kibamba,nilichokiona pale kwenye msiba conclusion yangu nilimwambia shemeji yangu kuwa huyu ni mtu wa ajabu.Yaani kwanza nyumba anayokaa hailingani ya hadhi ya prominent lawyer achilia mbali mbunge pili hata majirani hawakuja kwenye msiba,another question mark,nasikia hata kifo cha mdogo ake kilitokana na uzembe wa kutojali kwani alikuwa anaumwa ila walimgundua akiwa amekufa chumbani kwake siku ya pili,more question mark.La zaidi ni ushirikino wa watu sijui kama anao kwani hata kusafilisha mwili wa marehemu ilikuwa ni mbinde kweli watu walishikana mashati mpaka dakika za mwisho kule Tumbi Hospital ili kulipa gharama za usafiri.
Anyway,OMBUDSMAN hayo ndiyo niliyoyaona kwenye ule msiba otherwise siwezi kum-judge sana kwa sababu hayo ni mapungufu ya kibinadamu na hata hivyo si mtu ambae nime-mingle nae elsewhere.
Anyway,OMBUDSMAN hayo ndiyo niliyoyaona kwenye ule msiba otherwise siwezi kum-judge sana kwa sababu hayo ni mapungufu ya kibinadamu na hata hivyo si mtu ambae nime-mingle nae elsewhere.