Gosbert Blandes ni mtu wa tabia na uelewa gani?

Sep 28, 2012
87
32
Wadau nisaidieni.

Pamoja na CV yake inayopatikana kwenye website ya Bunge, nani anaweza kutujuza huyu Mwanasheria na Mbunge ni mtu wa namna gani kitabia na uwezo wake katika uelewa mambo mbalimbali toka huko nyuma hata kabla ya kuukwaa uheshimiwa ili inisaidie kutoa hitimisho.

cc Baija Bolobi
 
Last edited by a moderator:

Tupatie kwanza yaliyojificha kuhusu mtu huyu ili tukusaidie zaifi ndugu yetu
 
Last edited by a moderator:
Ninavyomfahamu huyu Bwana, hana sifa ya uongozi hata kidogo. Yeye ni opportunist ambaye yuko tayari kufanya chochote ili mradi apate chochote kwa maslahi yake binafsi. Ni mzigo mzito kwa jimbo la Karagwe!!!!!

Tiba
 
Ninachojua ni kwamba ni mmoja wa watu walio bungeni kimakosa maana alitangazwa mbele ha mtutu wa bunduki na akakimbizwa airport baada ya kuchakachua.

kwa nyongeza tu. huyu mtu(nasita kumwita mbunge kwa sababu siyo unless he is an MP for himself) hajawahi kukanyaga jimboni kwake tangu atangazwe "mshindi" 2010.
 
he is not and he has never been a political material.

Jamani ninaposikiliza mambo yao huko kwa bunge naona kama ccm wanamtumia sana mtu huyu kwenye kumdhibiti tundu lissu.sasa sijajua ni kwa sababu zipi nilidhani yeye ni mkali wa masuala ya law. Sasa hz comments zinaashiria kwamba kijana huyu ni mweupe kwa head.
 
Mh. Blandes ni msumbufu sana kabla ya uchaguzi alikuwa mwanachama wa kkkt saccos pale mtoni wakati wa uchaguzi 2010 alikopa 60m akashindwa kulipa akafunguliwa kesi ya madai pale kisutu, apokei summons, atokei mahakamani kesi imesikilizwa upande mmoja akaibuka akalipa kwa mbinde akabakiza 10m hajalipa akawaambia wadhamini wake kamaliza deni hawatasumbuliwa tena matokeo yake summons zimetoka mahakamani haji, akipigiwa simu hapokei na wadhamini wakimtafuta anasema yupo karagwe jimboni sasa hivi mali zake zinatafutwa, na kujua hapa Dar anapatikana wapi, nyumba yake ipo kimara lkn haijulikani mtaa upi, na mda mwingi anakaa hoteli, si mda mrefu mtamsoma ktk magazeti.
 
Kabla hajawa mbunge alikuwa anaishi makuburi kwenye nyumba ya mzee mmoja wa kichaga. Alipopata ubunge tu 2005 alikimbia na deni la ile nyumba hadi leo hajalipa. Masikini mzee wa kichaga anaendelea kumlaani mpaka leo. Nyumba hiyo ipo kati ua ussesi bar na kibosho guest huose. Aliacha madeni ya maji.umeme na pango!
 
Alisababisha Fabian Masawe aukwae ukuu wa Mkoa wa Kagera kwa vile (F Masawe) ndiye aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Karagwe kipindi kile cha uchaguzi alihakikisha mizengwe vurumai na nguvu za dola zinatumika katika uchakachuaji wa matokeo ya ubunge na akafanikiwa.
Kama shukrani ya kulitetea jimbo la uchaguzi JK akamzawadia ukuu wa mkoa, kama kawaida yao watu ambao hawakustahili kuwa mahali walipo wanatumiwa na waliowapa ulaji kutekeleza bila kuhoji yale yote watakayo agizwa na mabwana zao.
 
Vyombo vya usalama vinathibitisha kuwa huyu Gosbert ni mtu asiye na maadili wala kutunza kiapo chake.

Ni mlaghai na Mwanasheria uchwara aliye tayari kufanya lolote ili mradi amekatiwa mshiko wa fedha.

Mtakumbuka kuwa alikuwa miongozi mwa Wajumbe wa kamati ya Bunge kuchunguza tuhuma za rushwa. Sasa wakati riporti inakaribia kuandikwa (compilation stage) ni yeye aliyenyofoa taarifa nusu akampelekea Mh. Zitto na wote wakakaa pamoja na Mhariri wa gazeti la Mtanzania kikao kirefu wakaandika story (nadhani mtaikumbuka) hata kabla ya Spika wala Naibu spika hawajaiona ripoti yenyewe.
Pasi na shaka, Kiongozi aliyepoteza mwelekeo aka ZK alimkatia kitu kidogo maana huyu Blandes ni blander sana na ni tarishi mkubwa wa mzee wa mamvi. Kwa kifupi ni Mwanasheria asiye na aibu kupindisha sheria kwa kuanzisha vi project vya ulaji. Utarishi wake siku hizi kwa hawa wakimbilia ikulu wawili si bure mpaka 2015 iishe ndipo ataanza project nyingine ya aina hiyo.

Kazi kwenu kutafuta kwa nini Zitto ameifuatilia kwa nguvu zote hiyo ripoti kwa udi na uvumba hata kabla ya kuwasilishwa? Lakini kuhusu Gosbert, mmm!! ni Tanzania tu na mtu kama huyu anaweza ku-qualify kuwa mwanasheria na hata kuwa mbunge!
 
Sijakupata mkuu wangu,fafanua unamaanisha nini maana ni mafumbo matupu!
 
kwa JANJAJANJA style hizi za wabunge na mawaziri wetu aisee! Hata Mimi naweza Kuwa mbunge simply niwe na CAPITAL Ngoja nianze tafta mtaji duh!

Sijakupata mkuu wangu,fafanua unamaanisha nini maana ni mafumbo matupu!

Hata kabla ya Spika kuipokea taarifa ya kamati ya maadili ya Bunge kuchunguza watuhumiwa wa rushwa, taarifa hiyo (nusu & iliyochakachuliwa kiasi)liandikwa gazetini kwa msukumo wa Zitto ambaye alipewa taarifa (nusu) na huyu mheshimiwa Gosbert. Yaani ni hakika kama unampa fedha Gosbert yuko tayari kupindisha ukweli hata mahakamani na uwezo wake ni mdogo sana. Fuatilia maana alikuwa Lawyer wa CRDB utasikia.
 
hiyo kamati ilikuwa inachunguza tuhuma zipi za wabunge?
 
limbukeni flani na mwenye kuendekeza njaa,alichakachua matokeo ya ubunge wa karagwe na kusababisha massawe kuwa promoted kuwa rc,anawaaibisha wanyambo huyu.
 
Back
Top Bottom