Gordon brown acharuka

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
Heshima mbele wakubwa.
Nimesikia kwenye news kwamba gordon mwana wa brown amecharuka akitaka wabunge wote wachunguzwe kule uingereza,kwa sababu kuna taarifa kwamba jamaa walikuwa wakijishughulisha na rostam azizi,ah nimekosea,ufisadi.sasa jamaa wanatakiwa wachunguzwe kutoka miaka minne nyuma.sasa hii naona pia inge faa kutokea hapa kwetu kwa mapapa wa ufisadi.kweli tuta ona mwanga wa utajiri si watanzania na kufurahi maisha bora???
Kazi ipo,ari mpya,nguvu mpya,kasi mpya,i hate this.nikisikia hii idiom.natamani niue..
Asanteni.
CCM=CORRUPTED CRIMINALS OF MANKIND.
 
ni vizuri kama ikitokea lakini kwa tz hizo ni ndoto za mchana.haitokei wala haitatokea
 
...kumbuka radar deal? Waingereza walikuwa wana uchungu kuliko sisi tulioibiwa,wakafanya uchunguzi walipotukabidhi kila kitu kikaishia hapo hapo tuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom