Google results

KWETU PAZURI

Senior Member
Oct 14, 2011
161
26
wadau wa JF,mimi nimemaliza form six mwaka juzi 2010 hivi karibuni nimekua nikisearch jina langu na na majina ya watu wengine kwenye google lakini cha kushangaza kwnye search results google haileti link ya matokeo yangu ya form 4 mwaka 2008 wala form sixwala selection yangu ya chuo kikuu, je tatizo ni nn?
 
shukuru mungu watu hawatakusumbua kukugoogle ni bonge la zari hilo..

:focus: inawezekana unakosea spelling ndugu yangu
 
Kama o-level anza na CSEE-MWAKA-EXAMINATION RESULTS-JINA KAMILI LA SHULE-JINA LAKO KAMILI
a-level anza ACSEE-MWAKA-EXAMINATION RESULTS-JINA KAMILI LA SHULE-JINA LAKO KAMILI
Ukishindwa tena,ruksa kuuliza!
 
Siyo kila page inakuwa indexed kwenye search engine (google), wao wanaweka SERP (matokeo) ambazo wamelirekodi kwenye database yao wakati wanatembelea pages mbalimbali. kama hawakuweza kutembelea link inayounganisha page yenye jina lako hawawezi kuorodhesha (index) page amabayo hawana.

Binasfi naona ni zali la mentali tu kwasababu haya mambo ya kuanikwa kwenye mitandao siyo mazuri sana kwasababu yanaweza kukuharibia baadae, huwezi kujua watu wasio kujua wanaweza kukufikiria vipi wanapo kusoma mtandaoni.
 
sijaelewa shida ni matokeo yako kuonekana mtandaoni? kwani hukufanikiwa kupata RESULT SLIP toka NECTA?kwani ulikuwa division ngapi? kama ni DIVISION ONE sasa nimeelewa kwa nini unang'anga'nis matokeo yawepo online ili ukiwa unatokea totoz una-mrefer mtandaoni akuone kichwa but siku hz mabinti hawaangalii ukichwa. kama huna pesa mkuu UMEUMIA.utapigwa chini tu na DIVISION ONE YAKO.Pole Sana.
 
Mngejua tu sina nia ya kujionyesha, ni kwamba mtu aliniambia amemaliza shule flani so ikanibidi ningie google kuprove,niliposearch sikuona results ya jina lake na shule aliyosoma zaidi ya account zake za facebook, linkedin,.ikabidi nijaribu kusearch jina langu nkaona hvyo hvyo, nkasearch jina la rafiki yangu tuliemaliza nae, ikawa hvyo hvyo.
 
Back
Top Bottom