Google Maps

TZ boy

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
624
181
Jamani natumia NOKIA C1 na napenda kutumia Google maps niko Temeke Dar natumia mtandao wa Airtel but Google maps napo ifungua hanionesha Hata tanzania mwenye uelewa kidogo wa hatua za kupitia hadi kupata direction anisaidie ndugu zangu wa JF ansateni
 
Back
Top Bottom