Google Delivers Surprising Music Service

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Service won't directly compete with Apple's offerings, but may threaten them via Android tie-in or piracy

Many have tried and failed. Apple, Inc.'s (AAPL) iTunes, which recently celebrated its tenth birthday remains the most powerful force in the digital music business, having stomped out some would-be rivals and held others -- like Amazon.com Inc. (AMZN) and Wal-Mart Stores, Inc. (WMT) -- off.

But Apple may finally have met its match -- music beta by Google (better known as "Google Music").

I. A True Competitor?

Perhaps no market player has figured out how to beat Apple quite as well as Google Inc. (GOOG). The younger firm has left its Cupertino foe far behind in the smart phone market, succeeding where others like Palm and Microsoft failed.

In the tablet sector, Android appears the only true challenge, at present, to Apple's dominance.

Many had long believed that Google would jump at the opportunity to throw down its gauntlet and challenge Apple's thriving iTunes music business. But even as Google diversified its content delivery, buying YouTube and launching special music video channels, a discrete music delivery service remained unrealized.

But sometimes an idea is too attractive to forever go unfulfilled, and Google has at last announced a music service.

II. Something Old, Something New
Google's music beta is here, announced by Google at its annual I/O Conference for developers (similar to Apple's Worldwide Developers Conference). But the service isn't quite what some had imagined...................................................................

Read full article@ DailyTech - Google Delivers Surprising Music Service
 
Kama watakuwa wanauza na muvi mpya dunia nzima hadi huku Afrika watawashika Apple, lakini wakiendelea na usanii wao wa ku-regionalize masoko I don't see why mtu ashift kutoka Itunes wakati it is proven and known product.
 
Abdul ku regionalise masoko kuna sababu nadhani. Anyway ngoja tuone ngoja nijisajili kweny hiyo beta yao nione
 
Afrika? Sijawahi kusikia mtu Bongo ananunua movie kwenye mtandao! I mean, hapa kitaa Magomeni kwa Bi Nyau hakuna anaeweza ku spell itunes wala hatuna Visa card za kununulia movie kwenye mitandao! Tuelewe masoko.
 
Yes Afrika. Africa na China ndio masoko mapya mkulu yenye prospect kwa miaka ijayo..makampuni makubwa yameshaona kugombea wateja America na Ulaya ni utata.
 
Abdul ku regionalise masoko kuna sababu nadhani. Anyway ngoja tuone ngoja nijisajili kweny hiyo beta yao nione
Kaka online transactions ndio ugumu wako ulipo hapo, maana kuna mambo ya taxes na sheria za copyrights..na kila nchi ina utaratibu wake. Hii barrier kubwa sana.
 
"We're sorry. Music Beta is currently only available in the United States" Hah hah hah!
 
"We're sorry. Music Beta is currently only available in the United States" Hah hah hah!

ndo hapo chacha kumbe ni vya wachache. Wa us watatujuza. Lakini unaweza kujaribu ku fake au kui hide ip yako iwe ya ki US US

Jaribu kutumia proxy kama hii http://sixweekbodymakeover.net/

List ya porxy nyingine waweza ipata hapa. http://www.publicproxyservers.com/proxy/list1.html

unaweza kutumia program ya Hide my IP pia. but nadhani google wanaweza kutambua hizi mbinu zote but nimejaribu one of them nasubiri majibu.
 
Hii service kwa bongo sio rahisi, mambo ya cloud yanakula sana data, lazima uumie.
 
Back
Top Bottom