google adsense

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
wakuu hiyo kitu mi inanichanganya sana,coz kila niki sign up ili niweze kupata matangazo kwa blog yangu,inanigomea,wanasema nitajibiwa baada ya saa 24 lakini hakuna chochote kinachokuja.nifanyeje au nitumie njia gani niweze kupata matangazo katika blog yangu???????? nawakiilisha
 
Blog yapo ina top level domain? Google wamesitisha kutoa matangazo kwa website zenye subdomain maana wanaona hawapo serious.

Top level domain ni mfano
Abc.com au abc.net au abc.org au abc.co.tz

Subdomain ni kama
Abc.wordpress.com au abc.blogspot.com au abc.webs.com
 
ni subdomain mkuu.Kwa hyo hakuna njia nyingne ya kupata advertisment.
nasmiletz.Blogspot.Com
 
wakuu hiyo kitu mi inanichanganya sana,coz kila niki sign up ili niweze kupata matangazo kwa blog yangu,inanigomea,wanasema nitajibiwa baada ya saa 24 lakini hakuna chochote kinachokuja.nifanyeje au nitumie njia gani niweze kupata matangazo katika blog yangu???????? nawakiilisha

Pole kaka, kwa kawaida inachukua zaidi ya saa 24, inaweza kuchukua mpaka wiki moja au hata mwezi mzima (mimi ilinichukua mwezi mzima) ndio wakajibu.
Lingine nimeona blog yako ni ya kiswahili, nina wasiwasi kwa sasa hawakubali kiswahili, angalia language zinazokubalika primarily What languages does AdSense support? - AdSense Help
ushauri: unaweza ku apply ukianzia na blog/web yenye lugha ya kingereza kisha uka hamisha ad-sense code kwenye hii blog yako ya kiswahili. Kila la heri
 
ni kweli wana discourage sub domains ila kwa Blogger huwa wanaikubali sana, nimemshauri hapo abadilishe lugha! Lingine Deejay nasmile niambie unaona msg gani wakati unaloging hapa? http://www.google.com/adsense nikijua msg inayojitokeza nitaweza kukusaidia pia kujua tatizo! lakini tatizo la kwanza nimeona ni language, they dont support swahili at the moment!
 
Blog yapo ina top level domain? Google wamesitisha kutoa matangazo kwa website zenye subdomain maana wanaona hawapo serious.

Top level domain ni mfano
Abc.com au abc.net au abc.org au abc.co.tz

Subdomain ni kama
Abc.wordpress.com au abc.blogspot.com au abc.webs.com

google ads ina cost dollar ngapi?? please nijulishe
 
Sjaelewa kama upo na jamaa au upo against, google adsense ni publisher ndo wanalipwa yaani kama huyo jamaa atalipwa kama watu wataclick matangazo yalioekwa na google kwenye website/blog yake

Ila kama unataka utangaze inategemea na budget yako

-matangazo kama ya nokia na makampun makubwa unakuta wanalipa 0.04 per click matangazo madogo 0.01 so utapoeka hela kubwa ndo publisher watagombania matangazo yako ukieka ndogo watayakimbia
 
Pole kaka, kwa kawaida inachukua zaidi ya saa 24, inaweza kuchukua mpaka wiki moja au hata mwezi mzima (mimi ilinichukua mwezi mzima) ndio wakajibu.
Lingine nimeona blog yako ni ya kiswahili, nina wasiwasi kwa sasa hawakubali kiswahili, angalia language zinazokubalika primarily What languages does AdSense support? - AdSense Help
ushauri: unaweza ku apply ukianzia na blog/web yenye lugha ya kingereza kisha uka hamisha ad-sense code kwenye hii blog yako ya kiswahili. Kila la heri

asante mkuu!! hapo kwenye bold una maana nifungue blog nyingine ???
 
ni kweli wana discourage sub domains ila kwa Blogger huwa wanaikubali sana, nimemshauri hapo abadilishe lugha! Lingine Deejay nasmile niambie unaona msg gani wakati unaloging hapa? http://www.google.com/adsense nikijua msg inayojitokeza nitaweza kukusaidia pia kujua tatizo! lakini tatizo la kwanza nimeona ni language, they dont support swahili at the moment!

mpaka leo kila nikijaribu ku sign in naletewa hii msg An AdSense account does not exist for this login, as your application is currently in review. Within a week of your application date, we'll review your application and follow-up with you via email. Once you are approved to join AdSense, you'll be able to log in to your account and get started.
 
Lugha ya kiswahili haisapotiwi, mi mwenyewe blog yangu inacontent nyingi za kiswahili,,,, so fanya kubadilisha au fata ushauri wa jamaaa kwamba anzisha blog yenye content za kingereza kisha ubadilishe
 
kwangu mm nilijaribu kuweka kama kawaida ikanisumbua,sasahv nataka kutafuta mdhamini wa blog yangu,au nyie mnaona na hii ya kutafuta mdhamini imekaa vipi?
Pia ningependelea wote tunaochangia huu uzi tukaweka hapa link za blog zenu then tukabadilishana maujuzi
 
google nao hawana maana why wanakataa lugha ya kiswahili wakati wanakubali matangazo ya kiswahili?

Wanajisifu wanadisplay matangazo kwa jinsi vile mtu anavohitaji but they are wrong

Kama mtakua makini now kuna matangazo kibao ya tigo kwa lugha ya kiswahili katika adsense
 
kweli kabisa sijui watakuwa na nini kimewasibu.
 
kwangu mm nilijaribu kuweka kama kawaida ikanisumbua,sasahv nataka kutafuta mdhamini wa blog yangu,au nyie mnaona na hii ya kutafuta mdhamini imekaa vipi?
Pia ningependelea wote tunaochangia huu uzi tukaweka hapa link za blog zenu then tukabadilishana maujuzi

hapo umeongea kitu cha msingi sana.Ngoja umeme ukirudi niweke link.Saiz natumia simu
 
kwangu mm nilijaribu kuweka kama kawaida ikanisumbua,sasahv nataka kutafuta mdhamini wa blog yangu,au nyie mnaona na hii ya kutafuta mdhamini imekaa vipi?
Pia ningependelea wote tunaochangia huu uzi tukaweka hapa link za blog zenu then tukabadilishana maujuzi

wadhamini nao wana options zao.Mfano kuna kampun moja wakaniambia niwatumie kwanza google traffic stats.Lakin cjajibiwa tena
 
naweza kukusaidia, nina account za adsense 6, ninakufungulia kama utahitaji, tuwasiliane 0767102102
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom