Goodmorning JF...

aaah wapi..Nitonye?..nilimuacha anakunywa banana kule kwa Moromboo atakuwa kashindwa kuona njia ya kurudia.......hahahahaaaaaa banana nomaaa
Hahaha! Alijikongoja mpaka pale ngarenaro nikaenda kumchukua hapo,,, afu hajakunywa banana jamani!..
 
Wamekunywa...walikuwa na HB mwenzake NDUU....hahahahaaaaaa akija mkague....halafu wakaanza kushindana eti nani Handsome zaidi hahahaaa mi nkaona ishakuwa noma nkapotea kimyakimya
 
Hahahahaaaa! Nduu/mamaya ni hb kuliko husband nitonye!..afu sasa vile unavomuona nitonye pale ndo katabasamu lol. Pata picha akinuna!
 
Gud nyt, tukutane kesho misa ya kwanza st. Teresia, au wasali mjini kati?
Dah kesho parokiani kwetu ST Monica huku Sakina tuna Harambee ya ujenzi wa Kanisa....so ntasali huku..karibu kwenye harambee....
 
Hahahahaaaa! Nduu/mamaya ni hb kuliko husband nitonye!..afu sasa vile unavomuona nitonye pale ndo katabasamu lol. Pata picha akinuna!
Hahahahaaa yan picha za hawa jamaa zinanifurahishaga sana....pumzika mama Nitonye.....see u kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom