Good practices za ualimu kulikoni?

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
Nimekuwa kwenye taaluma ya ualimu karibu miaka 10 sasa. Nafadhaishwa sana na ulazima wa wakuza mitaala kubadilisha kila wakati nyaraka zinazotumika kuandaa vipindi yaani maazimio ya kazi maandalio ya masomo vitabu vingine vya kumbukumbu za kufundishia. Kwa uzoefu wangu vyote hivi silolote katka ufundishaji. Kwanini nukuu zilizoandaliwa vizuri za kila mada zisichukue nafasi kwa nilivyotaja hapo juu kama sehemu ya good practices za ufundishaji. Wale wazoefu wa ualimu na wasomi wengine naomba maoni yenu.
 
Back
Top Bottom