Good News ! - Kampuni ya Precisionair kuingiza ndege saba mpya Tanzania

ATR72-500 ndio ndege gani?

ATR 72-500

300px-Aer.arann.atr72.ei-red.arp.jpg

ATR 72-212A, Marketed as the -500 and certified in January 1997 with either PW127M or PW 127F engines the -212A is an upgraded version of the -210 using six-bladed propellers on otherwise identical PW127F engines. Other improvements include higher maximum weights and superior performance, as well as greater automation of power management to ease pilot workload. source: Wikipedia
 
Ifuatayo ni habari njema kwa Watanzania, adha ya usafiri wa anga natumaini itapungua sasa..

Source: Mwananchi.co.tz

SteveD.
Wakati huu wa Kikwete tegemea more and more habari njema. Kwa asiyeelewa jinsi uchumi wa nchi unavyokua basi aangalie wafanya biashara walivyo na matumaini.

Yaani Bakhresa anunua meli zaidi, watu binafsi wanunua mabasi zaidi, maduka mazuri na mapya yafunguliwa kila siku, ujenzi ndio usiseme ni mauyoga tupu, Mashule ya serikali na watu binafsi kila siku yafunguliwa toka vyuo vya kawaida mpaka vyuo vikuu, piki piki mpaka vijijini, mashine za kusaga kila kijiji na....na.....na....na.... Ahhh nisimalize ukurasa hapa, Ah nimesahau Wamiliki wapya wa magazeti huibuka kila siku. Duuuu ilimradi ni maraha tu.

Sasa njoeni na zenu eti deni limekua, wacha weee hakuna nchi isiyo na deni. Fahamu kuwa Marekani ndio inayoongoza kuwa na deni kubwa zaidi. Usiniulize ni ngapi, ingia mwenyewe www.aneki.com au ukipenda www.cia.gov...... ni wamoja hao.
 
kampein zinaanza mapemaa! ujanja kuwahi bwana...
 
Jamani mbona hii habari ndio ilikuwa habari miaka mitatu iliyopita, ndege zilishaagizwa sasa kinachotokea ni delivery as per delivery plan?
 
Na hii ndio muhimu. Maana maelezo kuwa nitakukopehsa $700mil sio muhimu sana kama siku ile unapata hizo pesa. Pengine yalikuwa maneno tu. utaaminije. Sasa mambo ndio haya.
 
Back
Top Bottom