Good News and Bad News to Cheka

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
BONDIA CHEKA amemshinda Mpinzani wake Maga Maugo jana jumamosi kwa tko na kukabidhiwa zawadi ya gari furaha ambayo hakudumu nayo sana baada ya kugonga mtu na aliyegongwa kufariki.....
 
Duh! Isije kuwa ule usanii wa kutoa zawadi ya gari kwenye stage, halafu linarudi kwa mwenyewe baada ya pambano. Ndio mambo yao mapromota wa bongo.
 
ni kweli amepata ajali ya kugonga mwendesha pijipiki maeneo ya Manzese na hilo limethibitishwa na RPC kinondoni...Radio One Stereo michezo usiku huu
 
Unaweza kukuta kuna elements za kishirikina katika ushindi wake maana Wamatumbi tunajuana.!
 
Du hatari sana furaha haijadumu hata siku muja na kumletea matatizo teyari! So sad
 
Wabongo kwa misifa kwann asingeipak yard akaenda kuichukua kesho yake au ndio ushamba wa gari?
 
Back
Top Bottom