mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176
Haaaa.....we ulikuwa wapi siku zote hizo???
Pole wee ulipotea na kila kitu kikapotea.........vipi yule shemeji yako hajambo??
Btw; kale kampango sio bana, we jifanye tu kama umekasahau kabisa!!
hakuna hiyo.......kusahau?-??afu atakua bishanga ndo ananiharibia tu huyu...lol, yule shemeji kapona ila yalonikuta we acha tu.....ngoja nikayaweke jukwaa la kule kwenye mambo yetu....