Good Morning my love...!!!

umeonaeeehhh?? atakuwa amesamehewa am sure, ladies huwa tupo soft sana, ukibembelezwa kidogo tena kwa maneno matamu kama haya, lazma usalute! ol the best in your relationship YM, na usirudie tena kumkosea huyo binti.

Nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu ili jambo hili lisijirudie tena.
 
Ohooo!!! baby usinifanye nikaufufa ule ungo wangu nikaja huko sasa hivi.
mie nipo serious, we mwenzangu kumbe watania??? njoo haswa kungu la kina zinduna zanzibar lishakolea, tena sijalila kavukavu mmmhhhh, nimelikorogea uji, sasa hivi nasikilizia stim halafu kumbe we watania, ebo! hebu fanya hima nakungoja!
 
Kwa hiyo ndiyo wewe ulimwambia jana kuwa amekuboa??
kipipi nawewe ni mfukunyuku kha!? jamani huyo ni ubani wangu wa huku kwa job, lolest! sio wa jei efu! jei efu ni YM peke yake, si unajua mpango mzima wa vidumu kila sector?
 
kipipi so does my heart for you....vp za siku??? vp kale kampango ketu kaleee......?????

Haaaa.....we ulikuwa wapi siku zote hizo???
Pole wee ulipotea na kila kitu kikapotea.........vipi yule shemeji yako hajambo??

Btw; kale kampango sio bana, we jifanye tu kama umekasahau kabisa!!
 
hehehe kipipi usinipe raha! ni kimjinimjini tunabanana hivyohivyo, hata 'm' nahisi nitamuacha! nishafall kabisa kwa YM! Mwambie ticah asijal tutashare, 3some ndio mpango mzima! au

mmmmmhh...shosti??
Himaya huwa ni ya malikia na mfalme tu, hayo mengine ya threesome ni ubatili my dear!!
Fanyafanya umnyakue kikweli kwelii.....
 
kipipi nawewe ni mfukunyuku kha!? jamani huyo ni ubani wangu wa huku kwa job, lolest! sio wa jei efu! jei efu ni YM peke yake, si unajua mpango mzima wa vidumu kila sector?

Owkeyy........
But usinilaumu chipenzi, we ndo haukunifahamisha vizuri!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom