cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
acha tu kipipi! ila mwenzio nimetendwa, hivi kipipi mtu unampenda na nahisi analitambua hilo, ila anakwambia kutokana na msg uliyomtumia UMEMBORE utajisikiaje?? ni msg ya kumuelewesha yaloyojiri ila nimeambulia neno UMESHANIBORE, Kipipi imeniuma, nahisi upweke moyoni, natamani chelsea ingekuwa inacheza leo, labda ningeusuuza moyo wangu, wengine wanapewa maneno matamu kama hayo ya YM, wengine tunaambulia karaha moyoni! nipe pole shostito!Maneno mazito sana haya.
Ukiambiwa unaweza kuzimia kwa utamu wa hisia!! lol