Good Buisnes Plan to Start

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
kwa anetaka uwakala wa airtel
money piga hizi namba
0717474257 (usishangae namba ni
ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo
naendelea kutumia namba yangu ya
tigo though workng 4 airtel) .kinacho itajika ni copy ya
leseni ya biashara , kitambulisho Tin
namba na barua toka kwa mtendaji,
bei ya kuanzai kufungua account
yako kama wakala ni 3000 kwa
biashara ndogo na 300000 kwa biashara kubwa. wakala analipwa
kwa kamishen ya 200 kuweka na
250 kutoa kwa kichwa kimoja / kwa
mteja moja.hii inamana ukipata watu
100 kwa siku unazidisha 100 mara
200 au 250 inakuwa ndio kamishen yako kwa siku ukipata watu 50
unazidisha tu unapokea kamishen
yako .zingatia hyo kamishen sio
fixed mteja akichukua au akiweka
hela kubwa kamishen ina ongezeka
sawa sawa na kiwango cha hela ya mteja. Hyo 200 na 250 ni kwa
kiwango cha 900 hadi 4999
 
uwakala huo unatoa uwakala mkuu,au sub-wakala.na wewe ni nani airtel?unapatikana wapi?
Ninachojua mimi kuna uwakala mkuu unaotolewa na airtel na kuna uwakala wa kufanya chini ya wakala mkuu au ikoje?
 
Your working for Airtel and you don't want to display your Airtel number! Wafanyakazi wa Airtel si wanapewa namba maalumu za Airtel?. Nahisi kama unatafuta wateja wajiunge ili wewe upate commission, otherwise kama ingekuwa ni issue ya Airtel kweli at least ungeelekeza mtu anayetaka kukuona afike ofisini Airtel. Hii ya kwako imekaa kimagumashi zaidi.
 
Back
Top Bottom