Gono mbaya jamani!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
Jamani kawe kuna vituko
embu jaribu kuhamia hata kwa mwezi tu jamani
jana nikiwa natoka kwa job nikapita kuelekea kunyumba nikapita kamto fulani wanaokijua ukifika pale mayfair unaingia kulia kuelekea kwa msikiti mmoja saasa nilipovuka kidogo kamto nikakuta kaugomvi bila shaka kama jiran ungependa kujua na kama mdaku naona umeanza kusubiria...sasa basi watu wakiwa wanajianda akujaa nikaanza kuwaomba jamani embu yamalizeni kkinyumba mbona hivyo vijana nyie..shugulii ilikuwa hivi

kijana mmoja afanyaye kazi kampuni ya wachina ya ujenzi amehamia muda si mrefu akiwa kawe akakutana na kabinti kametoka kwao kameaga kuja dar na kila mwezi kanaitaji mahitaji ya kutuma huko najua unajua mbona unachek aaa haaa yale mambo ya wooooo wooooo wooooo chemsha chemsha,,,sasa jamaa akafika bei akaingia king..jamaa akiadithia waweza lia ati walipokutana wakaa kaa kama miezi miwili binti akamsafisha jamaa kila kitu akamwachia chupi,,baadae akaomba msamaha arudi ila ameuza kila kitu..so akuamini kilichotokea..so kama mjuavyo wanaume limbwata akamsamehe akanunua kitanda kila kitu upya...sasa basi jana kilichotokea jamaa kumbe akiwa anaondoka kwenda kwa kazi kuna jamaa anakuja kumsaidia ..akaambiwa akawa aamini sasa kuna jamaa akamtonya ..hiyo ni bdda ya mwezi embu angalia shuwine huyu anakuja kutiwa aibu siku zote anaambiwa aaamini...sasa basi jana ikawa siku yamwisho kuchezewa kamchezo kale bahati mbaya alipofika akakuta kajamaa kanafungua mlango kakambia gaflaaaaaaa wanaume wa kawe wakaanza kumfukuz a kumbe alipokimbilia ni upande wa pili wa kwao so akawa ana nguvu jamaa wakarudi nyuma kama abie kule sudan

sad nyuzi
jamaa aliporudi akaanza kumchapa makofi yul e mwanamke ilikuwaje..kumbe wakati jamaa anamfukuza mwizi wake yule mshenzi akaanza kupanga vitu tena akimbie safari hii akakutwa mabegi kila kitu viko sebulen...so sad nyuzi mwanamke akakimbia atujui alipoenda ila jamaa akaanza kufungua nguo za mwanamke hadharani na begi lake ...akakuta ooh ma god sijui niseme ..anyway akakuta condom za salama na dume ziko kwenye kona ,,akakuta daftari alipofungua akakuta mwezi wa tano ameumwa gono nampaka anaondoka alikuwa kwenye dose na mwezi wa 1 kabla alishaumwa nakutibiwa pale kawe kale kadispensary...bara barani..jamaa akuamini akaanza kutoa machozi tukamuuliza vipi yaani
mnajua wiki 2 nzima sina amani yaani kila nikikojoa nimeumwa sana sana alipoondoka aliondoka na hela zangu zote mbaya mpaka sasakuna vitu kama vyeupe vinatoka kwenye sehemu zangu za uume...niliumia sana nikamwambia chukua namba yangu nipigie asbh na mapema,,asbh hii nimemwacha kijana pale aar amepimwa na kukutwa na gono mbaya na kutukanwa kwa nini umekaa nayo hivyo...wamempiga sindano na kuambiwa arudi tena ....nikamlipia nakumwambia awe makini na mizoga ..kuwa makini kusachibegi lamwenzako pengine na wewe mwenzio amefichakadaftari cha hospital kwenye kona ujui....funguka ukishindwa hamia

ndugu zanguni tunafundishwa nini..sio swala la kucheka kwa mwenzio kuumwa gono bali gono uharibu hata mbegu zauzazi na kuanza kukimbilia kwa waganga kumbe umejimaliza....onyo kuwa makini msiamini mabinti kirahisi hivyo

kila la kheri
 
Mbaya sana! Ni muhimu kuchunguzana kabla ya kuingia kwenye mahusiano ambayo yatapelekea kufanya mapenzi bila kinga. Siyo gono tu, amepima UKIMWI?
 
huyo jamaa nae ni mgeni wa haya mambo yetu unaibiwa vitu vyote halafu unasemehe si bure
 
funza dume
ogopa kukutana na funza jike hatari yaani anakuwa kama kakupiga uofu ndugu yangu..mi nina kakayangu alikuwa anamchumba ndani ya miezi nane tu akaawa analeta dharau home kisa senti zake hana adabu neema yule ...familia ikamjulisha sio wa kuoa ..unajua nini akampeleka kwa mjomba nae akagoma huyo sio..akadai m naoa mwezi fulanii wee.....moto aliokutananao mwezi karudi nyumban ninavyoongea ni hbo w anyumban anamka anaenda shuguli zake anarudi..so ni mpaka unakutana na shida ndio uamaini mbele kuna moto...hao mabinti wanakuwana majiniwanatembea nayo hatari sana hata wweewe unaesogelea kuwatenganisha kama ujasimama imara wananza na ndoa yako kwanza hata kama ni ndugu yako ndio maana muwe makini sio kila kitu unaombe akushika mikono naukimaliza omba MUNGU akusamehe na kujihifadhi na maprpo iwe ugonjwa ama lah yasikurudie ujui huyo mpaka yuko hivyo amerushiwa nini wewe unaruka ruka tu kisa unasali pentecoste jion unajaza guest sinza utaisha yule anaemwaunamwacha..
gday
 
ukikuta mwanamme kashikwa na mwanamke utamwonea huruma. wanawake wengine ni balaa na wala usitukane wakunga wakati uzazi bd ungalipo. utamcheka mwenzako kesho wewe yanakukuta. mpe pole jamaa na mungu akubariki kwa kumpa msaada.
 
Back
Top Bottom