Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

God!! Hii post has made me so SAD... Ingawa nilishapata habari in general na ilishanifanya hivo.... I HATE misiba for it so Breaks me down... Simfahamu, but i am familliar with her Avatar, hivo naweza sema nimewahi muona.... Inauma kumpoteza fellow member but what makes it more painfull ni knowledge kua uwezekano wa JF members wengine katika hilo janga ni kubwa na hatujui ni akina nani.... na yawezekana tusije jua.... I am proud of this small circles za watu wanaojuana.... Hivo kweli tunawaomba saana wawe wanatupa feedbak za wahusika kama ulivofanya ODM....Dah!

Hii inatukumbusha tuliobaki kua we are nothing in front of death, na kwamba twaweza kata pumzi wakati wowote and in a second.... ODM Asante kwa kuweka threads zake... for inatoa insight ya the kind of person she is....

May Chetundu and all the ones we have lost REST IN PEACE..... Na Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma awape nguvu ya ziada na AMANI Wafiwa... Be blessed....

ODM..... Pole saaaana kwa majonzi...
Ahsante na pole pia shem....... Inauma sana aisee!
 
Kifo, tena cha uzazi....Ni kitu kigumu sana kwani kapoteza maisha yake akipigania uhai wa mtu mwingine,

Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi, Amina!!
 
Poleni wote ,pia jamani ni vizuri kuambiana haya majina ya bandia tunayotutumia hapa hata kwa rafiki yako mmoja au wawili ili Mungu akitupumuzishe mahala pa milele watakobaki wafahamu kuwa mwana JF fulani hayupo nasi tena
 
Dah, naikumbuka avatar yake!! RIP Chetuntu, Mungu kakupenda zaidi, Duni HII NI YA MATES NENDA KAPUMZIKE.
 

  • JF Senior Expert Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png



    Join Date : 10th January 2011
    Location : Paediatrique ward
    Posts : 963

    Rep Power : 22






Kwa nini aliamua kuandika hayo hapo (blue)???

Masikini ameishia njiani (just missed a step) kabla ya kufika hiyo ward ya mavuno na furaha!!

I am speechless!!
 
Poleni wote ,pia jamani ni vizuri kuambiana haya majina ya bandia tunayotutumia hapa hata kwa rafiki yako mmoja au wawili ili Mungu akitupumuzishe mahala pa milele watakobaki wafahamu kuwa mwana JF fulani hayupo nasi tena

panua wigo mkuu....watu tunafahamiana wengi sana humu ndani......incase of emergency.....
 
Dah! inanikumbusha mbali sana hii hari ya dada yetu mpendwa,poleni wana familia wote na Mungu akulaze mahala pema peponi ameen.
 
Kwa nini aliamua kuandika hayo hapo (blue)???

Masikini ameishia njiani (just missed a step) kabla ya kufika hiyo ward ya mavuno na furaha!!

I am speechless!!
Mzee mwenzangu, haya mambo huwa yananishangazaga......... Sijui kwanini aliamua location yake iwe huko.....Sijui bana!
 
Kwa nini aliamua kuandika hayo hapo (blue)???

Masikini ameishia njiani (just missed a step) kabla ya kufika hiyo ward ya mavuno na furaha!!

I am speechless!!

DC, i had the same feeling, mara nyingi huwa kuna signs nyingi tu na hatuzisomi

I have met this lady ila kwenye kazi na sikujua kumbe ndiye chetuntu

AND YOU KNOW WHAT?? SHE WAS SERVING PEOPLE IN NEED, KAZI YA WITO

NA MUNGU KAPENDA UA LAKE

what a sad day today
 
Msamahe bure mzee mwenzangu,

Labda ni mtani wake....!!!

Kwenye watu wazima (medically, mentally and psychologically) lazima na wenye mtatizo wapo tu!
Na kweli bana, acha sisi marehemu watarajiwa tuendelee kumwombea Marehemu Beatrix Benny aka Chetuntu alazwe pema peponi
 
Back
Top Bottom