Goms yamliza Makinda

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
02_11_c13mja.jpg

Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo La Mboto. Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.(Picha na Fadhili Akida).
 
Anamzuga gani? angekuwa na roho nzuri DOWANS,NA kukaa kila mara anawapinga tu CDM bungeni na kutetea sheria za wehu wehu bungeni zisingekuwepo hizi ..!
 
Aliponiudhi ni pale alipokataa mjadala wa mabomu akijua wazi waziri wa serikali angewajibishwa.
 
Je si huyu aliyesema mabomu ya mbagala si dharura? Kweli ametuona vilaza. Ndani yake hana lolote isipokuwa unafiki tu!
 
02_11_c13mja.jpg

Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo La Mboto. Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.(Picha na Fadhili Akida).

Aache danganya toto...........huyu mama ni mpuuzi sana i.e kiburi,jazba,usanii, etc ndio sifa zake
 
Je si huyu aliyesema mabomu ya mbagala si dharura? Kweli ametuona vilaza. Ndani yake hana lolote isipokuwa unafiki tu!

Halafu muangalie kwenye vidole sijui kapaka nn?...uuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuuuuuuuf
 
Hypocrite, you!
Huna hata machozi we mama...saundi tu hizo!
Najiuliza sijui anajiona safe kiasi gani mitaani wakati bungeni anawadharau tuliowatuma!
Hivi hakuna naniliu huko Mzambarauni?:flame:
 
Tanzania tuna hitaji viongozi wanaotenda. Majonzi ya kweli ni kuhakikisha kwamba mna jifunza kutokana na makosa na kuto yarudia kuhakikisha maafa haya jirudi. Mbagala ili tokea hamkujifunza na leo ni Gongo la Mboto sasa machozi yenu ya nini? Mna taka kutu danganya kuwa mna majozi kuliko watu walio poteza mali, ndugu na hata muelekeo wa maisha? Nyie mnalia na waathirika wafanyeje? Machozi yenu hayata rudisha nyumba zao, mali zao, wapendwa wao wala furaha yao. WE WANT ACTION NOT CROCODILE TEARS!
 
Mnafiki mkubwa hana lolote angekuwa na uchungu asingezuia mjadala wa tukio la Gongola mboto kujadiliwa kama hoja ya dharura, kwa kukosa uchungu wa kibinadamu na ifisadi wake akaizima hoja muhimu kwa usalama wa watu na taifa. Narudia tena mnafiki na upuuzi hana uchungu wowte
 
02_11_c13mja.jpg

Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo La Mboto. Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.(Picha na Fadhili Akida).

Mnafiki mkubwa hana lolote angekuwa na uchungu asingezuia mjadala wa tukio la Gongola mboto kujadiliwa kama hoja ya dharura, kwa kukosa uchungu wa kibinadamu na ifisadi wake akaizima hoja muhimu kwa usalama wa watu na taifa. Narudia tena mnafiki na upuuzi hana uchungu wowote
 
Je hiyo picha inaonyesha aanlia kweli? au macho yangu? kwa sababu hata machozi hayaonekani ndo maana kaweka mkono, hapo akitoa mkoa lazima ataonekana anacheka kama mkuu wake alivyokuwa anachekacheka. Halafu hiyo sura utafikiri watu wa kale wale wa zama za mawe!
 
Mbona hakulia alipopata taarifa kule bungeni? crying is not the solution let her give us the way forward.......
 
Back
Top Bottom