Godbless Lema ndani ya Arusha live

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
wana jf mheshimiwa lema mbunge wa arusha leo yupo katika eneo la hosp ya st tomas akizungumza na wananchi wake live habari zaidi nitakujuzeni nawakilisha
 
sasa anaongea diwani wa kata ya levolosi bwana nanyaro kikubwa anachoongea ni kuhusu maslai ya mwenyekiti wa serikali za mitaa kwani hao hawana posho yoyote kutoka serikalini ndio maana wanapokea rushwa kutoka kwa wanakijiji
 
kamanda lema sasa ananguruma chakufurahisha kashtukia janja ya magamba kwa kuwatuma waandishi kumrekodi ili akikosea akamatwe kawaambia washushe kamera
 
endelea kutujuaza mkuu, maana hatukawii kusikia wiki ijayo Nape anakuja arusha sijui nani atamsikiliza labda akodi watu..
 
endelea kutujuaza mkuu, maana hatukawii kusikia wiki ijayo Nape anakuja arusha sijui nani atamsikiliza labda akodi watu..

hakuna wakumsikiliza hapa barabara zote zimefungwa watu ni wengi ajabu kiukweli lema hapa arusha anakubalika sana
 
Hivi Lema ana kiwango gani cha elimu? Sijatumwa jamani nauliza tu
Mkuu Lema si msomi wala tajiri ila ni kijana mwenye utashi na ushawishi wa hali ya juu wa kisiasa na tena mwenye committment kuwatumikia wabongo . Wasomi katika Bunge letu ni pamoja na Chenge, Lowasa, Rostam, na wengine wengi wakiongozwa na mkuu wa kaya Dr, Dr, Dr, Dr,. Wanatumia elimu zao kuponda mali kufa kwaja bila kuwahurumia waongozwa
 
Dah mkutano ndio umeisha kwa kumaliziwa na nyimbo za ukombozi juu ya makaburu(watawala).Polisi walikuwapo Kama kawaida yao.Lema amesema kikao kijacho Bungeni tutarajie kumpokea hasa kuhusu suala la Meya wa Arusha na ushahidi wake juu ya Mizengo kudanganya Bunge.
 
Lema 4 revolution.Jamaa anajiamini sana,na nimtu mwenye msimamo kinyama.

Lema ni mwanamapinduzi wa ukweli toka tukiwa afrika ya kusini, tulikuwa tunapiga harakati mbalimbali kuhusu vijana wa kiafrica na tulifanikiwa sana ndiyo maana hata vijana wale unao waona kwenye harakati za africa kusini ni zao letu, so lema anajua kila aina ya utafutaji wa haki na huwa hujitolea hata maisha yake
 
Dah mkutano ndio umeisha kwa kumaliziwa na nyimbo za ukombozi juu ya makaburu(watawala).Polisi walikuwapo Kama kawaida yao.Lema amesema kikao kijacho Bungeni tutarajie kumpokea hasa kuhusu suala la Meya wa Arusha na ushahidi wake juu ya Mizengo kudanganya Bunge.
Sijaelewa vizuri hapo mkuu, tumsubiri kivipi? make yourself clear please.
 
Mkuu Lema si msomi wala tajiri ila ni kijana mwenye utashi na ushawishi wa hali ya juu wa kisiasa na tena mwenye committment kuwatumikia wabongo . Wasomi katika Bunge letu ni pamoja na Chenge, Lowasa, Rostam, na wengine wengi wakiongozwa na mkuu wa kaya Dr, Dr, Dr, Dr,. Wanatumia elimu zao kuponda mali kufa kwaja bila kuwahurumia waongozwa

Ama kweli humu ndani nimekubali kuna ma Great Thinkers wanaojua nini maana ya kiongozi na sio madarasa kibao utendaji 0

Mkuu Makondo mbali na hiyo Thanx. Niliyobonyeza ni pm. Nikutumie Coca bariiiiiiiiiiiiidi
 
lema nilimaliza nae form six na alifaulu vizuri swala lakujiunga chuo kikuu sijui ila jamaa alikuwa kichwa kinoma. ngoja nimuulize alimaliza chuo hani nitamjua ni mshikaji wangu kinoma thogh hatujaonana for the long.
 
Back
Top Bottom