Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
naona kama wanafanana

Je kuna uhusiano gani katika biashara zao huko nyuma?

kumbe unaongelea mambo ya wakat uliopta? Hata ukijua yatakusaidia nini? Mbn hamjahoji uhusiano kati ya magamba kwa magamba yanayolindana?.

Kama hujui si unyamaze........hii forum wanaruhusu pia kusoma tu thread za wengine.............mmoja Massawe ni Jambazi hivyo kuna uhalali wa kuhoji urafiki wa mbunge na Jambazi unawakutanisha wapi?

Tatizo humu ndani tunaipenda sana CHADEMA kiasi kwamba akiguswa tu "mtu wetu" basi tunahamaki bila kudodosa hoja kwa utaratibu.

Unaweza kudhibitisha bila kuacha shaka yoyote ujambazi wa Massawe?

Kweli sijui la kufa halisikii dawa, kila siku mnashauriwa muache siasa za maji taka lakini hamuelewi

Kweli sikio la kufa halisikii dawa, kila siku mnashauriwa muache siasa za maji taka lakini hamuelewi

JeyKey.

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.

ukisikia wabongo vilaza na wanafiki na wewe utakuwa top ten! Kuhusu chonjo siyo ukoo wote wezi wa magari na ndivyo ilivyo kwa lema na hizi koo ni kubwa.kwasababu wizi wa magar kwa arusha ni mkubwa bila shaka mahakaman kutakuwa walau na file ambalo kama si kufunguliwa kwa kesi basi la RB.watanzania tunapenda tantalila sana na kushnda vijiweni

Panapofuka moshi..................!

Movie nyingine hiyooo yaja, naona trailer ndo linaanza!! Bongo bana raha tupu.

Tangu nikia shule ya msing kijenge paka leo bado nasikia ukoo wa chonjo na lema ni wezi wakubwa wa magari hapa atown lakni hata siku moja awajapelekwa mahakaman kwa hiyo hapa tunaona serikali LEGELEGE au MDEBWEDO.zombe anakaribia kuf so roho inajtahidi kushkana na mwili.A.M ni mpigaji lakni mbona serikal aijawah kumshika inadhihrisha ndani ya serkali anashrkiana na walio juu.

Anayeulza ni police? Hizo data anataka azifanyie nini? Kuna hoja ya kudondosha kwa utaratibu hapa? Hoja zmeletwa kizombe, zombe afu unataka watu wapoteze muda kujadili majungu, mambo ya kujadili mbona yapo mengi sana? Wewe mwenyewe mmbea kama huyo mleta mada.

sawasawa swtlady naona Umemweka sehemu yake,imetosha,sina haja kuongezea hapo!!

Hivi unajua maana ya family.Vipi Arusha umekuja lini ?.Famila ya akiana Chonjo ilihusushwa na wizi wa magari kuanzia miaka 80s gari lolote likiibiwa Arusha,Moshi na Nairobi wakwanza kukamatwa na Chonjo family and their close friends.Siku hizi Chonjo wameachana kabisa na wizi wa magari lakini sifa zao bado zipo.

ukisikia wabongo vilaza na wanafiki na wewe utakuwa top ten! Kuhusu chonjo siyo ukoo wote wezi wa magari na ndivyo ilivyo kwa lema na hizi koo ni kubwa.kwasababu wizi wa magar kwa arusha ni mkubwa bila shaka mahakaman kutakuwa walau na file ambalo kama si kufunguliwa kwa kesi basi la RB.watanzania tunapenda tantalila sana na kushnda vijiweni

Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze

Akujuze ili ufanye nini? Mbona topic inaonekana ya kidaku vileee?!
Mimi nazani ungekuja na hoja murua zaidi.

JeyKey.

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.

Kamatakamata ya majambazi by JK ilishindwa kuzibitisha kuwa Alex Massawe ni Jambazi, Sasa kelele nyingi za nini?????

Kwanza unakiri halafu unailamu serekali mdebwedo ???????.Halafu ukoo wa Lema haujawahi kuhusishwa na ujambazi Godbless Lema si mzawa wa Arusha nadhani unachanganya mambo.

Tangu nikia shule ya msing kijenge paka leo bado nasikia ukoo wa chonjo na lema ni wezi wakubwa wa magari hapa atown lakni hata siku moja awajapelekwa mahakaman kwa hiyo hapa tunaona serikali LEGELEGE au MDEBWEDO.zombe anakaribia kuf so roho inajtahidi kushkana na mwili.A.M ni mpigaji lakni mbona serikal aijawah kumshika inadhihrisha ndani ya serkali anashrkiana na walio juu.

Kama hujui si unyamaze........hii forum wanaruhusu pia kusoma tu thread za wengine.............mmoja Massawe ni Jambazi hivyo kuna uhalali wa kuhoji urafiki wa mbunge na Jambazi unawakutanisha wapi?

Tatizo humu ndani tunaipenda sana CHADEMA kiasi kwamba akiguswa tu "mtu wetu" basi tunahamaki bila kudodosa hoja kwa utaratibu.

usisahau pia kuwa ndiye amekuwa mfadhili wa ccm wakati wa kampeni za uchaguzi kwa kutengeneza tshirts na kofia zote za ccm kutokana na uswahiba wake na JK.

WanaJF! Hii move bila shaka inafanana lakini ni feki. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Hii move toweni kabisa weka nyingine original.

Lema ni mbunge wa Arusha mjini kupitia tiketi ya CDM, Alex Massawe ni Mfanyabiashara maarufu hapa Tanzania.

Hivi unajua maana ya family.Vipi Arusha umekuja lini ?.Famila ya akiana Chonjo ilihusushwa na wizi wa magari kuanzia miaka 80s gari lolote likiibiwa Arusha,Moshi na Nairobi wakwanza kukamatwa na Chonjo family and their close friends.Siku hizi Chonjo wameachana kabisa na wizi wa magari lakini sifa zao bado zipo.

tatizo unapenda sifa man ngongo,sasa hzo kesi za miaka ya 80 zilikwenda kwenda vipi au mahakama iliztupilia mbali tupe news mkubwa inaonekana upo deep.na lema vipi ajawai fikishwa mahakamani hata kwa kumsuspect kaiba gari.

Heshima Daud Mchambuzi.

Naomba kukuuliza swali dogo sana,unaamini Zombe hakuua kwakuwa mahakama ilishindwa kumtia hatiani ?.Mkuu wangu sheria haina majibu mazuri kwa kila tatizo.Mara nyingi kama si zote watu wenye fedha za kutosha si rahisi kutiwa hatiani zipo sababu kadhaa 1.wanatumia mawakili wazuri wa kucheza na sheria 2 Rushwa zimetamalaki kwenye mahakama zetu.3 Ubovu wa waendesha mashitaka.

Back
Top Bottom