Godbless Lema kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA

sasa mnachobisha nininiiiiii? mimi kusema ukweli? ninayo yanena humu niukweli mtupu zitto amekitupa chama muda mrefu,, acheni LEMA apewe hiyo nafasi chama kisonge mbele kama matarajio yetu sote, LEMA anaweza jamani

Ilala huyu jamaa anavyoonyesha anatumiwa..maana kumbe amejiunga jana tu tarehe 4, lol!!!
 
Ilala huyu jamaa anavyoonyesha anatumiwa..maana kumbe amejiunga jana tu tarehe 4, lol!!!

siku tumwa wala sinto tumwa siku zote nitaongea ukweli.. nitamuunga mkono lema kwakuwa anweza zitti ni gari mbovu limekwisha chemsha hataukilitengeneza halitengenezeki
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hii stori ni njama za CCM kutaka kuonyesha kuwa chadema ni chama cha wachaga leo sio april fool mdau uliweka thread hii
 
siku tumwa wala sinto tumwa siku zote nitaongea ukweli.. nitamuunga mkono lema kwakuwa anweza zitti ni gari mbovu limekwisha chemsha hataukilitengeneza halitengenezeki[/QU

huo ushushu wa kijinga kaufanye nyumbani kwako. ukweli gani unaongea wewe nani baada ya SLAA wa kumfananisha na ZITTO?
LEMA BADO KIJANA MDOGO. HAYO MAJUGU YAKO KAYAPELEKE KWA HUYO MUMEWAKO
 
Kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?

Wadau hatusemi kwa sababu:
  1. Ni uzushi mapaka itakapothibitika vinginevyo
  2. Bado Zitto ana wadhifa hua na hatuna taarifa ya yeye kuukataaa au kutowajibika
  3. Wewe unamawazo ya mgawanyiko wajkati amabapo watu wameungana bila kujali tofauti za dini na ukabila
  4. Nadhani umetumwa
Wasalimia NEC,CC na UVCCM vya CCM
 
wewe ndiyo umetumwa na huyo zitto wako, kwakuwa tunajua hamna msaada wowote ule huku CDM zaidi ya kila siku kukutana na JK na kujadili jinsi ya kutumia udini kuiangusha CDM na CDM haita anguka milele watanzania tunaimani nayo LEMA gooooo
 
wewe ndiyo kihiyo mazima, yaani unataka umfananishe kamanda LEMA na ZITTO mtaka fursa toka kwa mafisadi? LEMA anakila sifa yakuwa NAIBU KATIBU MKUU wa chama hicho makini

Mkuu Never unaweza kua hoja zako zina ukweli lakini tuna paswa kufahamu chama kina taratibu zake hatuna sababu za kupayuka hapa kama masuko .
Ni hatari sana kuchomeka chomeka vihoja ambavyo negatively impact yake itatugharimu si tu kivingine no! hata ku take time kuvijadili,si tunaona waropokaji inavyo wagharimu.
Ninacho amini viongozi na wanachama wa CHADEMA ni watu makini inapaswa kuuonyesha umakini wetu ili tutofautiane na waupande wa pili.
Yapo mambo mengi sana kama chama na wanachama tunapaswa kuyashughulikia kwanza kuliko hivi vihoja ambavyo vina mlengo wa kubomoa chama.
 
nashukuru kwa busara zako ulizo tumia kuchangia hoja hii mkuu. maana wengine humu ni wehu wanakurupuka hawafikirii wala hawafuatilie kile kilicho nenwa sehemu husika.hizi ni tetesi huenda ikawa kweli au la.. jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa giza
 
nashukuru kwa busara zako ulizo tumia kuchangia hoja hii mkuu .(maana wengine humu ni wehu wanakurupuka hawafikirii wala hawafuatilie) kile kilicho nenwa sehemu husika.hizi ni tetesi huenda ikawa kweli au la.. jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa giza

ukiwemo wewe!
 
Mimi sitaki kuzungumzia juu ya kama ni lema anafaa kuwa naibu katibu mkuu ama la! Ila ninachoweza kusema ni kweli kwamba zitto ameshindwa kifanyakazi ya chama kabisa hivyo na busara kabisa nafasi hiyo akapewa mtu mwingine ambaye anaonekana kuwa anaimudu.from kyambo
 
uko sahihi mkuu ZITTO aeshindwa kufanya kazi za chama zaidi ya majungu ndani ya chama na vijana wake akina MSAFIRI MTEMELWA, CHITANDA na huyu dogo anamuandaa eti awe mwenyekiti wa vijana anaitwa MCHANGE, huyu jamaa anachowaza nijinsi ya kuimaliza chadema na mafisadi, walimpa nyumba kule tabata ya NSSF kwa bei chee wakamfunga mdomo, sasa anahaha ishu imejulikana kakaliwa kooni kweli na viongozi wa chama, ni bora aondoke jamani huyu hafai, LEMA anafai kuwa nanafasi hiyo kwasasa
 
wewe ndiyo kihiyo mazima, yaani unataka umfananishe kamanda lema na zitto mtaka fursa toka kwa mafisadi? Lema anakila sifa yakuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho makini
ndio tatizo la watu wenye upeo wa kondoo/.... Chama ni zaidi ya ushabiki na jazba

na kama umenisoma, sijasema zitto anafaa ila nimesema lema is not a right choice, wanaoijua chadema na kunijua wanannielewa

afterall, you have more to learn from me than what i can gain from you

pole sana, ni umri wako tu
 
Acha uchonganishi wewe....hizo habari labda kama umezipata kwa MAKAMBA au kwa TAMBWE HIZA au CHILIGATI kwakuwa hao ndio huwa na taarifa za kitahila kama hizo....<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/rip.gif" border="0" alt=""
title="Rip" smilieid="265" class="inlineimg" />CCM.
<br />

<br />
Kazipata kwa kupeng'e
 
ndio tatizo la watu wenye upeo wa kondoo/.... Chama ni zaidi ya ushabiki na jazba

na kama umenisoma, sijasema zitto anafaa ila nimesema lema is not a right choice, wanaoijua chadema na kunijua wanannielewa

afterall, you have more to learn from me than what i can gain from you

uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana mkuu, ni muda gani ambao LEMA a nafaa kuwa naibu katibu mkuu badala ya sasa? huyo zitto wenu toka awe naibu amekifanyia nini chama zaidi ya kuwasaidia NCCR MAGEUZI na kushinda kule kigoma na yeye kupona chupu chupu?
 
mimi sitaki kuzungumzia juu ya kama ni lema anafaa kuwa naibu katibu mkuu ama la! Ila ninachoweza kusema ni kweli kwamba zitto ameshindwa kifanyakazi ya chama kabisa hivyo na busara kabisa nafasi hiyo akapewa mtu mwingine ambaye anaonekana kuwa anaimudu.from kyambo
at least umeelewa kwamba hoja yangu haikua zitto anafaa au la, huyo mpumbavu anaitwa never, will never be a good chadema follower kwani hata utashi wala upeo.. Ni mjinga!!
 
ndio tatizo la watu wenye upeo wa kondoo/.... Chama ni zaidi ya ushabiki na jazba

na kama umenisoma, sijasema zitto anafaa ila nimesema lema is not a right choice, wanaoijua chadema na kunijua wanannielewa

afterall, you have more to learn from me than what i can gain from you

uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana mkuu, ni muda gani ambao LEMA a nafaa kuwa naibu katibu mkuu badala ya sasa? huyo zitto wenu toka awe naibu amekifanyia nini chama zaidi ya kuwasaidia NCCR MAGEUZI na kushinda kule kigoma na yeye kupona chupu chupu?
JUST TELL YOU MAMA THAT I SAY HI...

WAGENI WANA SHIDA SANA, HASA KAMA HAWAJAOLEWA
 
Back
Top Bottom