Godbless Lema kuanza maombi ya kufunga na kuomba kwa siku saba

wakristo tumefundishwa kusamehe sasa sielewi ni Mungu gani atakayepokea hayo maombi ya kulipiza kisasi

Soma maandiko vzr..Biblia inasema ' kisasi ni cha Bwana'
Kwahyo ww hutakiwi kurudisha kisasi ila Mungu mwenyewe. ...cha.msingi ww omba
 
Back
Top Bottom