Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
Utashindwaje kununua maji ya sh 500/= wakati umeshasunda 10,000/= acha kuzuga watu leo ukitafuta pikipiki Arusha hupati kisa Lema kazikodisha zote.
Usitoe tuhuma nzito bila kuweka source pls. Mimi mbona ni dereva wa boda boda na sijapewa hiyo kitu aiseee acha urongo bana.
 
Kibonde kilaza kweli yaani akili za rushwa magamba ndio hizi za kina (N)gongo lol..........
 
Arusha mmebahatika kumpata shujaa Lema mwenye kuwanyima usingizi CCM na vibaraka vyao
 
ujue washasunda 10,000/=


Siyo kweli, machalii kibao wa huku kaloleni wameanza kufunga ma shop na wamepamba tororo zao huo mgao mbona hauja fika huku?
Kama mmezoea kupokea za magamba CDM hakuna ni Mapinduzi ya ukweli
 
Mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini kamanda G Lema baada ya kutoka gerezani leo atazungumza na wapiga kura wake ktk viwanja wa NMC UNGALIMITED.

Nawasilisha

Lakini wewe SOKON 1 kama umeamuaga kuwa mwanajamii mbona hata cku moja hautaki kampan na members wa hapa A town? Utakuwa mpweke mpk lini? Na we ni mmoja wa wanaharakati mzuri tu? Karibu SOKON 1 tuwe pamoja.
 
Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..

Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..

Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..
 
lema ametoka leo asubuhi na leo mchana atakua na mkutano Viwanja vya NMC kuongea na wapiga kura wake yale aliyoyaona gerezani,watu wa sehemu mbalimbali kutoka arusha wanaelekea huko,pikipiki zmejaa mitaa ya njiro zikiwa na bendera ya cdm

usiwamiss inform watu mi niko hapa mahakaman nimetoka mosh lema bado hajachiwa na mahabusu wamegoma kushuka kwenye karandinga hadi wamuone lema.
 
Utashindwaje kununua maji ya sh 500/= wakati umeshasunda 10,000/= acha kuzuga watu leo ukitafuta pikipiki Arusha hupati kisa Lema kazikodisha zote.

Inaonekana Arusha hakuna mwana-Magamba yoyote anayemiliki pikipiki.... Zote zinamilikiwa na wana-CDM
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom