Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
hivi we kabonde mtiririko wa ubongo wako uko sahihi? Jina lako lenyewe linasadifu yaliyomo kichwani kwako,pole sana si kosa lako
 
kwa tukio hili la leo la arusha! natamani hata ningekuwa popo ili nifike arusha fasta.
 
Tunataka kuona wafungwa wote waliofungwa kwa kukosa kulipa fine wanasaidiwa kutoka gerezani.
 
Utashindwaje kununua maji ya sh 500/= wakati umeshasunda 10,000/= acha kuzuga watu leo ukitafuta pikipiki Arusha hupati kisa Lema kazikodisha zote.

We kabonde acha u-masaburi wako na usenge wa ccm wa kuwalipa hongo hadi wanafunzi ili waje kwenye mikutano yenu ya magamba.

Mimi nipo kwenye msafara na hicho unachotaka wana-jf wakuamini sijakiona kwani hata maji ya kunywa tunanunua kwa pesa zetu!
 
Mlioko maeneo ya tukio tupeni taarifa! vipi mbauda, Fid-foss, Majengo, sakina, USA, Sanawari vipi hali ikoje huko? Natamani niwepo mitaa ya stand saizi ila naimani wanaCDM arusha watatuwakilisha vyema.
 
Na leo Zuberi apeleke masaburi yake viwanja vya NMC atamke neno "nyie panya" aone cha moto. Patachimbika leo. Mbona kuna kamanda amekaimu nafasi yake au ndio kwaheri A-Town? Atakua amerudishwa makao makuu nini, manake wameshamstukia anatumia masaburi kutenda kazi yake.
 
Jamani wengine tuko mbali lakini tunakereketwa sana kuona hatuweza kuwepo hapo viwanja vya NMC,tunaomba sana mtuunganishe live au la upadate za ukweli zikiambatana na actualities.mtuambie tangu atakavyokuwa ametoka Kisongo na mpaka atakapofika NMC.Mtuhabarishe watu mashuhuri watakaokuwa wamefika na mtuonyeshe mahudhurio.
Mtuambie pia huyo Zuberi atakuwa wapi leo na vibaraka wao watakuwa wamejumuika au watakuwa mitaani.
 
Niko njiani kuelekea huko!
pamoja sana mkuu.sisi huku dar tutakuwa tunatia ubani na sala kwenda mbele.mimi najua ukombozi wa pili wa nchi hii umeaanzia kanda hizo za kaskazini yaani klm,ar ,mr mpaka mz,bk,kg,shy na sasa moto wa kaskazini ukifika mpaka tbr wakati ule wa mb ukisambaa ir,rk na rvm na kuna siku natabiri mtr,ld,mgm,na ta kuwa ngome kuu za mapambano,yaani mpaka kieleweke.
 
Hivi huyu ni Kabonde au Kibonde?na kwa akili zao wanadhani ni kama kwao wafanyavyo na mpaka wanafunzi wa primary shule hawaendi kisa wameamriwa kwenda kwenye mkutano,wakuu tunajua kuna watu wameshachukua posho toka kwa Nape,R1 na wengineo wasituchanganye endeleeni kutupa habari na viambatanisho vya picha.tafadhali tunashauku sana,tupeni habari wakuu
 
Na leo Zuberi apeleke masaburi yake viwanja vya NMC atamke neno "nyie panya" aone cha moto. Patachimbika leo. Mbona kuna kamanda amekaimu nafasi yake au ndio kwaheri A-Town? Atakua amerudishwa makao makuu nini, manake wameshamstukia anatumia masaburi kutenda kazi yake.

Mbona kila mtu anamtaja huyu Zuberi? Hata Mbowe kwenye moja ya hotba zake alimtaja huyu Zuberi?

Tuelezane ni nani? na anahusikaje na Chadema?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom