Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada ni mwanaharakati mzuri sana hawezi kosa!
Mimi na members wengine 5 wamenihakikishia kuwa watakuwepo!

Hivyo kwa habari ya updates za picha, sauti na Maandishi mtashindwa wenyewe!

Kuna MwanaArusha mmoja, Mfanyabiashara maarufu, alitutafuta wanaJF arusha hadi kutupata, akatuambia kuwa anafurahishwa sana anapoona matukio ya kisiasa yanavyorushwa live kutoka Arusha, na kwa kuonyesha kufurahishwa na hilo akasema kila kukiwa na tukio basi atatoa laptops na kamera zake kuwezesha matukio kufika dunia nzima!

Tunamshukuru sana mzee huyu...members wa Arusha wanamjua vyema!
Hii naipenda sana natamani kunjua huyu ndugu, ni mtu muhimu kwa maendeleo ya Tanzania
 
Nzuri hiyo, ila mbona nilisoma gazeti la jana, walisema hataweza kufanya mkutano kutokana na ujio wa prince na mkewe?Limefikia wapi swala hilo jamani, au atafanya kwa siku ya leo tu, maana alipanga afanye mkutano kwa siku tano mfululizo
 
mpka sasa ninachojua hakimu kakataa kusain hadi jumatatu ijayo
 
Wanazi wa CDM ebu semeni kweli kuna taarifa kwamba Lema ataendelea kuongoza ndege hadi j3.
 
Taarifa zinazonifikia hapa dawatini ni kwamba lema hajatoka kwa kuwa hakimu kagoma kusain akidai kuwa akisai atakuwa kasaini kwa shinikizo.......
 
Wanazi wa CDM ebu semeni kweli kuna taarifa kwamba Lema ataendelea kuongoza ndege hadi j3.



ni kweli nimetibitisha hilo....watu wako nmc wanasubiri lakni dakika za mwisho hakim kachomoa......
 
hakuna kulala mpaka kieleweke hakuna kuondoka mpaka lema aje vijana wanaari sana wanamwamko
 
Washikaji mliopo viwanja vya NMC tupen updates za nini kinaendea huko. Halafu wadau wengine achaneni na hao wakin ritz na mzee11 wanataka kuharibu mlolongo wa mzur wa habari kama vp wapotezeeni tu coz hakuna kiongozi wa magamba aliyefanya jambo la kishujaa kamanda lema na huwa wakisikia chadema wanamkutano huwa hata hakukaliki kuanzia ofisi ndogo ya ccm hadi magogon kwa msela wake kameruni. So tuwapotezeen tu ili tupate habari kwa mlolongo mzuri. Nawasilisha
 
sasa kama hawajamruhusu mbunge wetu tuambieni kinachofuata ni nini? huu ni uonevu wa wazi wazi zaidi ya ule wa Gadaffi.
 
hata gadafi aliwaita waliokuwa wanampinga mapanya, lakini siku ya arobaini ni yeye aliekzibuliwa kutoka kwa mtaro wa maji machafu kama panya! what goes arround always comes arround!

hii nimeikubali mkuu, hivi sisi panya wetu halisi ni nani ili siku moja tumtoe kwenye mtaro kama alivyotolewa Gadaffi?
 
Washikaji mliopo viwanja vya NMC tupen updates za nini kinaendea huko. Halafu wadau wengine achaneni na hao wakin ritz na mzee11 wanataka kuharibu mlolongo wa mzur wa habari kama vp wapotezeeni tu coz hakuna kiongozi wa magamba aliyefanya jambo la kishujaa kamanda lema na huwa wakisikia chadema wanamkutano huwa hata hakukaliki kuanzia ofisi ndogo ya ccm hadi magogon kwa msela wake kameruni. So tuwapotezeen tu ili tupate habari kwa mlolongo mzuri. Nawasilisha


update ni kwamba hakuna kutoka viwanjani watu watakesha hapo hadi pape lema atakapopelewa uwanjani akiwa huru
 
Ni zamu ya Mwenyekiti Mbowe anasema kuwa CHADEMA wanaanza hatua nyingine ya mapambano. Hakuna mtu kumsukuma, wala kumbugudhi mtu. Hakuna mtu kuondoka hapa, watoto wadogo wapelekwe nyumbani, maana ngoma ya kukseha hapa Uwanja wa NMC, usiku ni ngoma ya wakubwa. Mwenye simu ampigie jirani yake aje hapa, awaambie walioko nyumbani walete chai hapa. Watu watume msgs kwa marafiki zao wote kuwa waje wajiunge na makamanda waliopo hapa kuendeleza mapambano.

Anasema pia kuwa wananchi wengine wote nchini katika maeneo mbalimbali, Mwanza, Mbeya, Moshi na maeneo mengine yote ya miji mikuu wajiandae kuanza kukutana na kukesha. Anasema hatuwezi kuendelea kujenga taifa la watu waoga. Tuko tayari kwa mapambano, pipoooooooooooz power, anasema kamanda Mbowe. Sasa anaagiza wimbo wa Peoples' Power upigwe na watu wasikilize kwa makini mashairi yaliyomo. Wimbo huo ulitungwa kuwakumbuka watu watatu waliouwawa katika maandamano ya Januari 5, Arusha. Here we go brothers.
 
kuna tetesi mhe Lema amekataliwa dhamana well informed personnel kindly inform us!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom