Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco

nyie MAGAMBA aliyoyasema Nappe yapo akilini mlimnukuu vibaya. Sasa kama alikuwa jambazi ndo asipiganie uhuru wetu mbona zombe aliwaua kina juma ndugu mkamwachia huru?

Ile kesi ya Zombe hata angepewa kichaa pale milembe angetoa hukumu stahiki yote haya amyaoni kweli ugonjwa wa magamba mbaya sana.
 
99% ya majambazi maporaji sugu, huwa hawana tabia ya kuwambia wake zao kama ni majambazi.

Pindi utaponaswa na vyombo vya ulinzi vya serikali hapo ndipo mke anaangusha kilio na kulalamika siku zote naishi na mume wangu kumbe jambazi nilikuwa sijui
 
Wewe mwanaume kamili kweli? anayeambiwa jambazi ni Lema lakini kuna watu hawapumziki kumtetea, hayo matusi hayawezi kubadilisha ukweli, Lema ni jambazi na kundi la marafiki zake ni majambazi, pumzikeni.
 
Mzito kabwela aliambiwa akatimua mbio kabla ya kilio.

99% ya majambazi maporaji sugu, huwa hawana tabia ya kuwambia wake zao kama ni majambazi.
Pindi utaponaswa na vyombo vya ulinzi vya serikali hapo ndipo mke anaangusha kilio na kulalamika siku zote naishi na mume wangu kumbe jambazi nilikuwa sijui
 
Historia inawaza kumuhukumu mtu Je lema alikuwa anashilikiana na majambazi na huyu katibu mkuu?

HAPO KWENYE RED NI KAMA NI KAMA AMBAVYO R.A NA WENZIE WALIVYOKUA WANAWAJAZA HELA MAGAMBA NA KUWAIBIA WANANCHI HADI KINA LEMA WALIPOPAAZA SAUTI AJIUZULU.......
hapa inaelekea lema hakupendezwa na nyendo za huyo jamaa ndo maana si katibu wake tena!!
 
We ulikuwa mke wake wa kwanza unadhani atakurudia tena wazazi wako walimkataa leo unajipendekeza jambazi ni jambazi au huoni ujambazi mpaka kwa katibu utkuwa wewe mke mdogo.
Teh teh..... ndio tabu ya kukaa mtaa wa Lumumba. Mnaambiwa kila siku ushoga haufai hamsikii. Sasa ona unayoyaandika. Lema ni jambazi, hata mamako nae ni jambazi basi
 
Wewe mwanaume kamili kweli? anayeambiwa jambazi ni Lema lakini kuna watu hawapumziki kumtetea, hayo matusi hayawezi kubadilisha ukweli, Lema ni jambazi na kundi la marafiki zake ni majambazi, pumzikeni.
Mbona hata mama yako nae ni jambazi?
 
99% ya majambazi maporaji sugu, huwa hawana tabia ya kuwambia wake zao kama ni majambazi.
Pindi utaponaswa na vyombo vya ulinzi vya serikali hapo ndipo mke anaangusha kilio na kulalamika siku zote naishi na mume wangu kumbe jambazi nilikuwa sijui
Yalikukuta nini? Leta ushahidi lema alifanya ujambazi wapi? Kama alimwibia mke baba yako ndo unamwita jambazi?
 
lema mwenyewe alisema anaejua ufisadi wake ni mkewe, lini umekuwa nyumba ndogo yake?

Muhimu si anayeujua ni nani, jambazi ni jambazi tu, hata kama atajificha kwenye kivuli cha mkewe.

Inakuwaje baadhi yetu tunachanganya siasa na uhalifu? historia ya uhalifu wa Lema inafahamika hapo Arusha, si issue ya mkewe. Lazima avune alichopanda, hatutamuonea haya kamwe eti kwa kuwa ni Mbunge wa Chadema.

Katika hili cdm wakiendelea kumkingia kifua mjue itakula kwenu...Inasikitisha kwa cdm kuwa na mbunge aliyewahi kuwa jambazi na mpaka sasa amezungukwa na mtandao wa majambazi!!! AIBU KUBWA HII.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom