Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco

Ndege wafananao ndio uruka pamoja, Jambazi rafiki yake Jambazi.
Wameiba sana magari wote, wapo pamoja toka mwaka 1990 wamefanya ujambazi sana

Mwanaume kuwa mbeya haipendezi, au ndiyo athari za kutumia masaburi kufikiri?
 
Lema alishatajwa na aliyekuwa swahiba wake, Zombe.japokuwa zombe amemtaja lema nje ya ulingo lakini mantiki inabaki palepale kuwa ushahidi wa mhalifu ni ushahidi timilifu kuliko wowote.hapa mtatetea sana lakini ukweli ndio huo, kuwa huyo katibu wake/aliekuwa katibu wake anaendeleza tu fani.naweza kukubali/kuamini kuwa kwa hivi sasa Lema ameacha wizi/ujambazi ila mtandao wake/washirika wake wao wanaendelea na kazi.ni bora Lema akauweka wazi mtandao huo ili ufutiliwe mbali hapo atakuwa ameweza kujitoa kimasomaso na huenda akaweza kutuliza tuhuma dhidi yake,bila hivyo wale wote anaoshirikiana nao/aliokuwa anashirikiana nao kila watakapokamatwa basi mjue kuwa Lema atatajwa.hapa msitake kuweka /kupeleka suala hili katika siasa ili kumsafisha Lema. ni miongoni mwa wezi/majambazi wanaotunyima raha.

Ujinga kweli hauna ujazo, kumbe aliyetaka kugombea ubunge jimbo la Arusha ndugu Nyali ni jambazi la kutupa na hata majuzi majuzi alikamatwa na aliyekuwa RPC kabla ya Andengenye lakini halikuongelewa hilo.

CCM inakiri yenyewe kuwa ufisadi unaitafuna lakini hilo halionekani!
 
Naona hapa duniani huwa kunawatu wanachekelewa na kupenda wenzao wapate matatizo duh
 
Ni ajabu sana, watu wanapiga kelele kuwa wanapambana na ufisadi ambao ni wizi lakini wapo mbele kumtetea jambazi Lema kisa ni CDM. Lema ni jambazi tu hamuwezi kuondoa ukweli huu kwa matusi.
 
mbona CCM inafadhiliwa na majambazi wa aina zote wa bunduki na kalamu tukianza kuyajadili majambazi itabidi tuulizane wapi kesi za kina A. Masawe huyo Nyari naskia mpaka kampeni za WanaMagamba anafadhili ina maana mwema hamjui.

Mbona BAKRESA alitoa meli tu kwa cuf akamwagiwa ngano zake
 
Lema ni jambazi hata mseme nini ukweli utabaki ukweli CDM kazi yake kubwa ni kupinga ufisadi iweje ufisadi wa Lema haupingwi acheni double standard mkishika dola hali itakuwaje kama mwizi wenu hawajibishwi ili kuonysha mfano mwema.
 
lema ni jambazi hata mseme nini ukweli utabaki ukweli cdm kazi yake kubwa ni kupinga ufisadi iweje ufisadi wa lema haupingwi acheni double standard mkishika dola hali itakuwaje kama mwizi wenu hawajibishwi ili kuonysha mfano mwema.

lema mwenyewe alisema anaejua ufisadi wake ni mkewe, lini umekuwa nyumba ndogo yake?
 
Ni ajabu sana, watu wanapiga kelele kuwa wanapambana na ufisadi ambao ni wizi lakini wapo mbele kumtetea jambazi Lema kisa ni CDM. Lema ni jambazi tu hamuwezi kuondoa ukweli huu kwa matusi.

Lema ataendelea kunyanyasa mioyo yenu kwa siku nyingi zijazo za uhai wake
 
Kama vile anavyosingiziwa Slaa kuwa kazaa na mke wa mtu na kaliasi kanisa katoliki akiwa Padri, si ndio?

Mke wa mtu ni nani? Nini kigezo cha kuita huyu ni mke wa mtu na huyu sie. Adhabu kwa anayechukua mke wa mtu zi zipi (akithibitika Mahakamani) na Slaa kapewa adhabu gani hadi sasa.

Padri ni nani? Sifa za kuwa Padri ni zipi? Slaa anazo hizo sifa?

Ukijibu hayo maswali kwa ufasaha utaelewa nini umesema! Gamba we!
 
Slaa kaingiaje hapa tunazungumza ujambazi wa Lema bwana.

Mke wa mtu ni nani? Nini kigezo cha kuita huyu ni mke wa mtu na huyu sie. Adhabu kwa anayechukua mke wa mtu zi zipi (akithibitika Mahakamani) na Slaa kapewa adhabu gani hadi sasa.

Padri ni nani? Sifa za kuwa Padri ni zipi? Slaa anazo hizo sifa?

Ukijibu hayo maswali kwa ufasaha utaelewa nini umesema! Gamba we!
 
Lema ni jambazi hata mseme nini ukweli utabaki ukweli CDM kazi yake kubwa ni kupinga ufisadi iweje ufisadi wa Lema haupingwi acheni double standard mkishika dola hali itakuwaje kama mwizi wenu hawajibishwi ili kuonysha mfano mwema.
CHADEMA huwa haijingatingati kuchukua maamzi ikizibitika kuwa umevunja sheria za chama siyo kama nyie mnae baki kupeana siku...tuwekee ni wizi wa Lema tuuchambue tukiona kavunja sheria za nchi/chama tutamwajibisha...na siyo kutuletea huo usanii wenu
 
Ni dalili za kufilisika kisiasa, wana magamba wanadhani wanaweza kushinda hoja za wananchi kwa kutunga visingizio hivyo, wamezoea siasa za maji taka, badala ya kusimamia agenda za wananchi wanaishia kuchafua watu, hatushangai angalia serikali yao ilivyo busy jucgafuana kuelekea 2015,
 
Lema kakulipa shilingi ngapi ?.

Ni dalili za kufilisika kisiasa, wana magamba wanadhani wanaweza kushinda hoja za wananchi kwa kutunga visingizio hivyo, wamezoea siasa za maji taka, badala ya kusimamia agenda za wananchi wanaishia kuchafua watu, hatushangai angalia serikali yao ilivyo busy jucgafuana kuelekea 2015,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom