Godbless Lema Agombee Urais

Hana vigezo vya kuwa raisi.

Kama vigezo vya kuwa Rais ni Lazima uwe Mwizi kama JK na CCM kweli hivyo vigezo hana.

Lakini kama kigezo ni kuwaletea wananchi maendeleo, kuwaunganisha watanzania kuwa wamoja na wakaipenda nchi yao, Kutumia rasilimali za Taifa kwa faida ya wazalendo, hivyo vigezo anavyo tena beyond expectation!
 
Si kila anayefanya vema ngazi ya chini anafaa ama anaweza kuperform ngazi ya juu.

Kwa kumlinganisha na JK sawa lakini kwa maana ya Urais wa nchi Lema hafikii kimo

Lema alishawahi kusema kuwa hata baba yake angelilkuwa na Coasters za kwenda moshi, Kikwete asingekuwa sifa ya kuwa dereva!

Lakini Tukumbuke Andrew Rajiolina wa Madagascar
 
Nimeongea na Mh Lema kuhusu hii hoja na hivi ndivyo alivyonitumia kwenye mail yangu

" Unafiki katika siasa ni mkakati wa kisiasa wa kutafuta hekima na ustarabu ambayo chanzo chake ni uoga , Rais ni mtu yeyote anayependa watu wake kuliko madaraka yake ,kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa rais kama sifa ya kwanza ni upendo wa dhati kabla ya madaraka , lakini mtu makini awezi kufikiria kuwa rais kama cheo na sifa bali utumishi uliotukuka usio na hofu katika mapenzi ya kweli katika Taifa lake na kuwa Rais ni ndoto kwa yeyote raia wa Nchi husika kama anataka wala ukatazwi ni ndoto kubwa na kufikiri hivyo ni sawa na ni maono , lakini ni afadhali kuwa masikini mwenye utu kuliko tajiri katili , hivyo ndoto ya kwanza yakiongozi makini si kuwa Rais wa nchi bali ni kuwa mtumishi wa safi wa familia yake na jamii yake na kama ukianza kufikiri hivi basi hata usipokuwa Rais maombi yako kwa Mungu yatakuwa ni Nchi yako kupata Rais mwema na mwaminifu" Lema Mp
 
wizi na uporaji wa magari,uvutaji bangi,kutumia mistari ya bibklia kuhamasisha maandamano na kuchochea vurugu........huyo ndio rais unayemtaka wewe.
 
Maoni yake kuhusu hii hoja:

Unafiki katika siasa ni mkakati wa kisiasa wa kutafuta hekima na ustarabu ambayo chanzo chake ni uoga , Rais ni mtu yeyote anayependa watu wake kuliko madaraka yake ,kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa rais kama sifa ya kwanza ni upendo wa dhati kabla ya madaraka , lakini mtu makini awezi kufikiria kuwa rais kama cheo na sifa bali utumishi uliotukuka usio na hofu katika mapenzi ya kweli katika Taifa lake na kuwa Rais ni ndoto kwa yeyote raia wa Nchi husika kama anataka wala ukatazwi ni ndoto kubwa na kufikiri hivyo ni sawa na ni maono , lakini ni afadhali kuwa masikini mwenye utu kuliko tajiri katili , hivyo ndoto ya kwanza yakiongozi makini si kuwa Rais wa nchi bali ni kuwa mtumishi wa safi wa familia yake na jamii yake na kama ukianza kufikiri hivi basi hata usipokuwa Rais maombi yako kwa Mungu yatakuwa ni Nchi yako kupata Rais mwema na mwaminifu" Lema Mp
 
Maoni yake kuhusu hii hoja:

Unafiki katika siasa ni mkakati wa kisiasa wa kutafuta hekima na ustarabu ambayo chanzo chake ni uoga , Rais ni mtu yeyote anayependa watu wake kuliko madaraka yake ,kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa rais kama sifa ya kwanza ni upendo wa dhati kabla ya madaraka , lakini mtu makini awezi kufikiria kuwa rais kama cheo na sifa bali utumishi uliotukuka usio na hofu katika mapenzi ya kweli katika Taifa lake na kuwa Rais ni ndoto kwa yeyote raia wa Nchi husika kama anataka wala ukatazwi ni ndoto kubwa na kufikiri hivyo ni sawa na ni maono , lakini ni afadhali kuwa masikini mwenye utu kuliko tajiri katili , hivyo ndoto ya kwanza yakiongozi makini si kuwa Rais wa nchi bali ni kuwa mtumishi wa safi wa familia yake na jamii yake na kama ukianza kufikiri hivi basi hata usipokuwa Rais maombi yako kwa Mungu yatakuwa ni Nchi yako kupata Rais mwema na mwaminifu" Lema Mp Edit Post Reply Reply With Quote
 
wizi na uporaji wa magari,uvutaji bangi,kutumia mistari ya bibklia kuhamasisha maandamano na kuchochea vurugu........huyo ndio rais unayemtaka wewe.

wewe sikiliza "kama misitari ya biblia inaweza kuleta maandamano mbwizi na uporaji wa magari,uvutaji bangi,kutumia mistari ya bibklia kuhamasisha maandamano na kuchochea vurugu........huyo ndio rais unayemtaka wewe.
ona nyie ccm mnawachungaji wengi sana kwenye chama chenu kwanini msitumie mistari hiyo kupinga maandamano , akili ndogo na wivu kidogo ndio unaokusumbua , na kama ni wizi mbona serikali ya jk haijawahi kumkamata na kosa lolote , acha uzushi wewe ni mtoto wa Zombe au

soma anavyonena hapa :
 
wizi na uporaji wa magari,uvutaji bangi,kutumia mistari ya bibklia kuhamasisha maandamano na kuchochea vurugu........huyo ndio rais unayemtaka wewe.

kwa hiyo mwizi ni lema tu na wale waliotajwa na mrema kufukia wa2 migodini ili kupata chochote ki2 wao hawana makosa? Mbona pamoja na hayo unanii wamepata! Kila mtu ni mwizi ila tofauti ni level
 
Back
Top Bottom