glucose ni dawa tosha ya tendo la NDOA.

kwelwa

Member
Feb 19, 2012
34
0
Wanajamii ni hivi juzi nilibahatika kuongea na mtaalam mmoja.Tukiwa katika mazungumuzo tuligusia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.Alinihakikishia kuwa dawa za kununua za kuongezea nguvu zina madhara makubwa huko mbele ya safari.Aliweza kugusia matumizi ya glucose na maji kuwa ni bora zaidi.Kama mtafiti nilifanya majaribio,nilichokigundua hasikwambie mtu,perfomance yake ni ya hali ya juu.Sambamba na hilo maji mengi ni muhimu ukanywa nusu saa kabla ya pambano.Tusisahau kutuliza mawazo wakati wa tendo.
 
Mbona unaeleza vitu nusunusu-dadavua hayo matumizi yanatakiwa yawe vipi
 
Actually sikuwa na tatizo hilo isipokuwa ni katika hali ya maboresho ya kazi zetu.
 
Jamani, hizi spana mkononi hadi lini???
Bora yangu nikipiga kitu ubombo, wife lazima afurahi
 
Mchanganyiko huu unamtoa kizazi mkeo-pweza nusu kg,ngisi nusu kg,karanga,majani ya chai ya tangawizi,maziwa fresh nusu ltr,tangawizi saga robo kilo,chemsha hadi viive then weka asali mbichi nusu lita koroga na unywe asbh na jioni kwa siku tatu utakuwa imara kama simba mawindoni tahadhari ni kwa waliooa tu na c wazinzi!
 
Wanajamii ni hivi juzi nilibahatika kuongea na mtaalam mmoja.Tukiwa katika mazungumuzo tuligusia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.Alinihakikishia kuwa dawa za kununua za kuongezea nguvu zina madhara makubwa huko mbele ya safari.Aliweza kugusia matumizi ya glucose na maji kuwa ni bora zaidi.Kama mtafiti nilifanya majaribio,nilichokigundua hasikwambie mtu,perfomance yake ni ya hali ya juu.Sambamba na hilo maji mengi ni muhimu ukanywa nusu saa kabla ya pambano.Tusisahau kutuliza mawazo wakati wa tendo.

Uliposema dawa ya tendo la ndoa nikadhani tendo la ndo alinaumwa.

Wewe unataka wenye sukari wakajazane 'muhi3' sukari zimepanda. Glucose ya kunywa kwenye maji ina tofauti gani na dawa zingine?
 
Si umesh jaribu glucose? sasa nenda kajaribu bamia changa.

Robo kilo bamia changa,unatafuna mbichi na kumeza kidogo kidogo, unaanza masaa mawili kabla ya game. Jaribu uje eleza JF.
 
Pia kuna dawa nyingine nzuri tu ambayo ni mahsusi kwa kuwakomoa wanawake wanaojidai wamekubuhu kwenye game: Vuta bhangi ya kutosha halafu baada ya nusu saa kula viagra. Ikipita tena nusu saa ingia kwenye game, kama hataua basi utasababisha dhahma kubwa.
 
Mchanganyiko huu unamtoa kizazi mkeo-pweza nusu kg,ngisi nusu kg,karanga,majani ya chai ya tangawizi,maziwa fresh nusu ltr,tangawizi saga robo kilo,chemsha hadi viive then weka asali mbichi nusu lita koroga na unywe asbh na jioni kwa siku tatu utakuwa imara kama simba mawindoni tahadhari ni kwa waliooa tu na c wazinzi!
Hapo lazima utakuwa umetengeneza sumu kali!.
 
Marketing nyingine bwana! Wewe umeona ma-box yako ya glucose hayaendi, unatafuta utoke vipi. Na wabongo tulivyo, saa hizi glucose zimeshapanda bei huko mtaani. Haya bana.
 
Pia kuna dawa nyingine nzuri tu ambayo ni mahsusi kwa kuwakomoa wanawake wanaojidai wamekubuhu kwenye game: Vuta bhangi ya kutosha halafu baada ya nusu saa kula viagra. Ikipita tena nusu saa ingia kwenye game, kama hataua basi utasababisha dhahma kubwa.

Hahahahaah!! Hizi bangi..
 
Back
Top Bottom