Global Economy reliant upon growth in Africa- GORDON DROWN

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Gordon Brown has used his first major speech since leaving office to say the future growth of the world economy is reliant upon the development of Africa.

Speaking in Kampala, the Ugandan capital, the former UK prime minister said he wanted to see the continent achieve its full potential.

Mr Brown also made light of losing the British general election in May.
He say nations needed to increase access to broadband internet, which he said less than 1% of people currently had access to.

kwa habari kamili tembelea BBC News - Brown says global economy reliant upon growth in Africa
 
Brown mbinafsi sana ameshindwa mambo ya UK sasa anataka kuwadanganya Waafrika, and on top of that kakimbilia kwa Dictactor M7 ambaye hataki kuachia madaraka.
 
Africans should take charge of their own desinations. It could not be done if we continue waiting for miracles by the architects from west.
 
Brown mbinafsi sana ameshindwa mambo ya UK sasa anataka kuwadanganya Waafrika, and on top of that kakimbilia kwa Dictactor M7 ambaye hataki kuachia madaraka.

Mkuu wacha sina undani wa politics za UK lakini nasikia wanasema huyu bwana alikuwa hakuwa na mvuto tu kwatu. Kwamba brown agekuwa na PR ilele kama aliyokuwa nayo Tony blair angeshinda. Na mbaya zaidi nasikia ni Mscotch . sijui kama ni kweli.

Ila kweli huku kwa mseven hawa UK USA wana ajenda gani naye ya siri.?
 
What he says is the open truth, straightforwardly, we are all equally important kwene hii sayari. Mataifa yanategemeana kwa sababu hakuna taifa linaloeza kujitosheleza kwa kila kitu. Hivyo ni kusema kwamba sayari inahitaji masuluhisho ya kisayari na sio kinchi au kikanda.
 
Mkuu wacha sina undani wa politics za UK lakini nasikia wanasema huyu bwana alikuwa hakuwa na mvuto tu kwatu. Kwamba brown agekuwa na PR ilele kama aliyokuwa nayo Tony blair angeshinda. Na mbaya zaidi nasikia ni Mscotch . sijui kama ni kweli.

Ila kweli huku kwa mseven hawa UK USA wana ajenda gani naye ya siri.?

Mafuta ni ajenda kubwa. Si unajua kuwa Uganda ina Reserve kubwa ya Mafuta.
 
Back
Top Bottom