Glaucoma na Upofu

Manumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
1,746
1,282
Mama yangu amepata haya maradhi na sasa amekuwa kipofu kabisa. tumejulishwa kuwa presha ya ndani ya macho (glaucoma) haina dawa na mama atakuwa kipofu kwa siku zake zote zilizosalia. Lakini pia nimewahi kusikia kuna matibabu ya kutumia sterm cells (sijui kama nimepatia spelling). Je kuna sehemu yoyote hapa duniani naweza kujaribu kumpeleka mama yangu akatibiwa hii glaucoma kwa kutumia hiyo sterm cells medical technology au hata akapata matibabu ya aina yoyote ile ili aweze kuona tena? Naomba mwenye msaada hususan wa hali anijulishe nimsaidie mama yangu. Asante.
 
Back
Top Bottom