Giza uwanja wa Taifa, mechi ya Simba na Young African

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
Pamoja na aibu kubwa mbele ya macho ya mataifa mengine duniani yaliyokuwa yanaangalia mashindano hayo imedhihirisha pia serikali isivyo makini, huwezi ukawakweka maelfu ya watu wote wale wa timu pinzani ( Mahasimu )gizani kwa muda mrefu hii ni kuhatarisha maisha yao kwani wanaweza kudhuriana na kupotelea gizani, halafu inakuwaje kunakuwa hakuna jenerator ya ziada (stand by generator) kwenye uwanja mkubwa kama ule unaoingiza mapato kibao?
 
Tanesco kumbee, ni wapenzi wa simba! hadi mnatuzimia umeme? laa! kuweni wazalendo angalau!
 
Back
Top Bottom