Elections 2010 Giv me A break

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Ivi kweli CCM/Serikali ifunge na kuukarabati uwanja kwa ajili ya Dr Slaa kuapishwa!!! Haiingii akilini.
 
Ivi kweli CCM/Serikali ifunge na kuukarabati uwanja kwa ajili ya Dr Slaa kuapishwa!!! Haiingii akilini.


ama hawajapata picha ama ni ufisadi mwingine mtu alishapewa tenda na % zimeshatumika katika uchaguzi hivyo ni lazima ahakikishe amemaliza kabla slaa hajaingia kutibua deal
 
Nyie chadema acheni kujiamini sana, tuombe tu Mungu tunachokihitaji pia kiwe ni mapenzi yake. Kumbukeni Busanda, Kiteto na Biharamulo kila mtu hapa aliamini chadema will take the lead lakini wapi haikuwa hivyo.

Mchuano wa JK na Slaa si kubeza yeyote kati yao anaweza kuwa mshindi.

Mungu wa mbinguni atuhurumie. TBC walionesha mfumko wa bei za bidhaa muhimu za chakula na mafuta kati ya Mwinyi kutoka madarakani na miaka 10 ya Mkapa Vs miaka mitano ya Kikwete. Jamani it is terrible.

Kati ya muda wa Mwinyi na Mkapa mfumko ulikuwa 10 - 25%, miaka 5 ya Kikwete mfumko ni zaidi 150% hii ni hatari sana.

kama wanavyosema malaria haikubaliki sasa tuseme kikwete na CCM yake hawakubaliki.
 
Kaka utamaduni upo sawa kabisa kwa version ya mwisho lakini uskate tamaa kumbuka alipangalo mungu kamwe ccm hawawezi kupangua mimi bnafsi naamini Dk. slaa atatake over coz tumechoka na hii kero ya kutojua kesho yetu hasa cc vijana! Hujui tu cc tulivyonyimwa fursa, wachina watoto wadogo wachuma pesa ndani ya nchi yetu jamani ni kwasababu wamewezesho mitaji na serikali yao. Cc viongozi wetu mabongo lala! Vjana wengi wanaelimu zao lakn kutwa wanataftakazi mofsini kisa hawajawezeshwa wamekariri ili ufanikiwe yampasa mtu kufanya kazi. Nenda kariakoo uulizie Wachian wanaelimu gani? Lakini kwann kila wk wanachuma mamilioni ya pesa na kufanya fund remmittance kwenye nchi yao. INAUMA SANA.
 
kwa mawazo yako haikuingii akilini lakini kwa kura za watanzania itatokea
 
Ivi kweli CCM/Serikali ifunge na kuukarabati uwanja kwa ajili ya Dr Slaa kuapishwa!!! Haiingii akilini.

It does not matter, at all, whether it makes logic to you or not. Handing power to the electoral winner is a constitutional imperative bound by no individual perspectives...................

Kwa hiyo huu mtazamo wako uufiche maana unajiabisha.


PROVERBS 13: 3 "He who guards his mouth preserves his life but he opens wide his lips will have destruction."
 
Nimejaribu kufikiria (zanzibar), Kenya na Zimbambwe, wao waweze kwanini cc* washindwe?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom