Girl kama huyu anasaidiwaje?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Unakuta ulikua na gal wako tangu zamani,ila inapofka kipindi anaingia chuo kikuu,anaanza kukupotezea kistyle.ivi siku akijidai kujirudisha kwako,utampokea kweli?
 
Pengine anakuwa busy na assignment, tests, semina na UE. Chezea university weye? Mpokee tu

Unless uwe umesikia amekupotezea kwa inshu nyinine.
 
Unakuta ulikua na gal wako tangu zamani,ila inapofka kipindi anaingia chuo kikuu,anaanza kukupotezea kistyle.ivi siku akijidai kujirudisha kwako,utampokea kweli?

Na mimi naanza kumpotezea kistyle
 
hapo kuna mtu anamtia kiburi. Nalisema hili kutokana na uzoefu wangu, hili limenitokea mkuu 2yrs ago. mpaka nilipokuja gundua kapata bwana mwingine nikajitoa kuepusha msongamano.
 
Unakuta ulikua na gal wako tangu zamani,ila inapofka kipindi anaingia chuo kikuu,anaanza kukupotezea kistyle.ivi siku akijidai kujirudisha kwako,utampokea kweli?

Ukiona manyoya??? Kimbia Fasta ashapata wakaree wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom