Girl Friend wa Rafiki Yangu Ni Mchina..

wazazi wao kwanini wanawapeleka watoto kulelewa na bibi na babu zao?

Nafikiri hii inachangiwa pia na sera yao ya mtoto mmoja,ambapo baada ya mtoto kujitegemea na wazazi kuzeeka uwa wanakuwa hawana cha kufanya hivyo upelekewa mjukuu awachangamshe.Ingawa wazazi usema wanamsaidia mtoto wao ili aendelee na kazi bila kuwa na wasiwasi wa mwanawe.Ishakuwa kama sehemu ya desturi mtoto kulelewa na bibi au babu,ingawa siku hizi kunamabadiliko kadri siku zinavyozidi kusonga.
 
huyo mchina ni mtu kweli asije akawa ni feki?
ni mtu ila anampa mapenzi ya kichinachina ambayo wote tunajua value yake ni 000000000000000000000000000000000000000000,000000000000000000000000000000000000000000000.00000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000.01
 
Kwa hiyo yule mwanamuziki maarufu wa TZ kule China naye vipi?huwa anabeba mkewe? tena siku hzi naye kafulia simsikii tena.
 
Mwambie jamaa ajifunze nae kihua chi kwisi tchao asiwe mvivu utaona huyo mchina atajua kichina mwenyewe anazubaa tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom