gina na suzi wa CLOUDS FM;PUNGUZENI UKALI WA MANENO BEST

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
kwanza napenda kuwapongeza wenzangu hawa kwa kipindi chaowanavyokiongoza kizuri kinavutia,;;ila nimeona kabla ya kufunga mwaka tusaidiane kidogo watu wengi wamekipenda sana,mjue na watoto wanakipenda na kusikiliza ,...tukiagana 2009 kama tutaonana 2010 maana twasikia mwaneda gwaride wengine wasirudi salama embu mwakani punguzeni kidogo ukali wa maneno ikiwezekana ni pm niwe nawapa vitashishi vikiwa na maana swa mnayotaka kuongea

alamsiki gwaride njema

cloooooooooooooouuuudssssss FM the PLP statiooooooooooooooon
 
Back
Top Bottom