Gimme the Loot..Machine Gun Funk..

Hahahahaha hapo nimekubali, umepiga bao baba'ke!! Halafu safari ya wapi? Lucky Lounge au ndio mambo ya pizza delivery!? LOL..

Kwanza Lenox Square, then Phipps Plaza, halafu tunamalizia Twist kupata Martini's halafu tunarudi crib.....hehehehhehhehee.....we ulie tu
 
Duh!! Bonge la schedule baba'ke! Mimi tena nilie au Rev. Kishoka!?? Maana nasikia jamaa (Kishoka) hata suruali hawezi kuvaa kwasababu ya busha, anashinda na kikoi (msuli) hahahaha...akipita mitaani watoto wanamwimbia, "babu mpira wetu."!! LOL


Muulize mwenzio ile Kavwasiye bado inapikwa kwao Bariadi? 11.04.08 ni mwezi wa pili sasa bado anacheza nalenale!

Umesahau ulipokuwa mdogo ulikuwa ukiniita Mjomba nikija pale kwenu "kumfariji mama" wakati Dingi wako akiwa viwanja na kile kikoi cha hudhurungi easy access?
 
Mkuu Rev,

Mambo ya wazazi hasa MAMA nishai kuyaingiza ktk haya malumbano ya hapa JF! Usikubali kuingia kwa mtego wa "cyber-disinhibition," (google ujiridhishe.....kuna ka-text katamu sana ka Daniel Goleman) kuwa na control ya kile unachoongea! I'm not happy kwa kunikashfia wazazi.....utani ni baina yetu, hao wengine hawausiki!!

By the way nasikia busha lako limeota vimiguu bwahahahaha.....

Uwe na adabu...ebo!!

Na wewe uko sensitive kamaSuzy....khaaaa.....yaani matani wewe unachukulia serious....? Basi ukiona hivyo ujue Rev. katonesha mshipa.....Gangamala dogo....
 
Rev,
Sio wewe tu hujapata hiyo "kavasiye," hata Pundit hajapata suti yake aloahidiwa!! NN nae ni mzushi tu kama wewe....LOL

Heheheheheee...Pundit nilimwambia alete vipimo na anipe jina la dobi....na mpaka leo hii wapi....sijamsikia wala kumwona...

Rev. na yeye anajifanya yuko busy sana siku hizi...hata nikimpigia simu hapokei....utamsikia anakwambia...'Hey Nyani, let me call you back man'
 
Ooohh The Informer is singing to the Faivoohs that he is SOFT A licky boom boom down!

What's up son, you now show us the butter side of yours! You can't touch this! You don't wanna step on this....


 
Nyani,

The kid is scared, I dropped a couple of lead on his path, had him smell the whiff of KNO3 and best he can do is cry momma, like a punk!
 
Back
Top Bottom