Gift gani inafaa kumpa mpenz wakati huu wa msimu wa ckukuu?( x-mass & new yr 2010)

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Jaman mi nawaza nawazua lakn jb cpati? Nimpe zawad gan mpenz wangu(ke) ajisikie furaha? Nisaidien jaman
 
Mwambie marry xmass.and happy new year...inatosha sana wallah....au wasemaje...atanuna...kama akinuna ujue apenda mshiko huyo..hana mpango..
 
zawadi nzuri uwe naye karibu sana kipindi chote cha sikukuu!usiende bar peke yako
 
perfume..
hereni ndogo za dhahabu au gold...
mtoe out for romantic dinner.:embarrassed:
 
kama umeoa au single show her/him ww ni wake kwa 100%, muwe na furaha kubwa na kwenda shopping ya vitu vingi kwa X-mass, i wanna wish you a Marry X-mass & hppy New year 2011
 
mtungie mashairi ya mapenzi umuimbie,na siku ya x.mas tangu asubuhi mtayarishie break fast na mnunulie perfume au lotion inatosha. Na uwe nae siku nzima
 
msome kwanza, anapendelea nini zaidi katika laifustaili lake. kama kanapenda kula sana kanunulie chipsi kuku tu. kama kanapenda mziki kakanunulie CD ya marehem remmy ongala.
 
msome kwanza, anapendelea nini zaidi katika laifustaili lake. kama kanapenda kula sana kanunulie chipsi kuku tu. kama kanapenda mziki kakanunulie CD ya marehem remmy ongala.

ha ha ha! We klorokwini kama hakapendi swaga za remmy je? Au siku hiyo kanataka kale meee we unamwambia akanunulie kiepe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom